Baada ya kufanyiwa upasuaji wa Tezi Dume, imerudi tena

Baada ya kufanyiwa upasuaji wa Tezi Dume, imerudi tena

Hospital kwa hapa Tz hawawezi kufanya hicho kitu jamaa yangu. Niamini. Simtishi ila anaweza kufanyiwa halafu anaweza akadumu siku kadhaa,halafu ikawa ndio nitolee. Kwanza hata alivyofanyiwa hiyo nyingine mpaka sasa yuko hai ni Jambo la kushukuru
Tatizo watu humu wanaleta ujuaji, mtu kasoma ki digrii cha udaktari au medicine chuo cha kata anataka kujifanya anajua kilakitu 😂🤣
Tanzania hakuna hospital inayo tibu Tezi Dume au Kansa. Watu wanaenda kufanyiwa majaribio tu
 
Tatizo watu humu wanaleta ujuaji, mtu kasoma ki digrii cha udaktari au medicine chuo cha kata anataka kujifanya anajua kilakitu 😂🤣
Tanzania hakuna hospital inayo tibu Tezi Dume au Kansa. Watu wanaenda kufanyiwa majaribio tu
Walizuka kibwena na vibe hapa wilayani kufanya hiyo test. Sijui kwa nini waliserect hii ngome?. Sijajua hii test ilikuwa ya nchi yote ya Kivilage? Waliondoka vichwa chini hawana hamu. Maana ilibidi mpaka mkuu kuingilia kati kustopisha hilo zoezi lisitishwe. Maana ilikuwa kila wanaemfanyia anakuwa fresh kwa wiki ,1 hadi 2 tu baada ya hapo anarudi hosp hoi. Hapo ujue mazimaaa. Hapa ngomeni waling'oa sana watu. Zzoezi likanyamazishwa kimya kimya
 
Pole mkuu,

Kuna kujaa tezi dume( maji kuongezeka) hapo ndo upasuaji unasaidia

Na Kuna kutanuka tezi dume( nyama kuongezeka),hapo Kila ukikata hizo nyama zinaota tena

Nashauri kusanya mimea ya mkandandogowe kilo1, mtomoko kilo 1 na mjaafari nusu kilo ,andaa chai ya maji Lita 5 . Kunywa kikombe asubuh,kikombe jioni Hadi Lita 5 ziishe

Tuwasiliane kwa 0713 039 875
 
Nashindwa kuelewa baada ya kusumbuliwa na tezi dume nikafanyiwa upasuaji mambo yakawa Safi.

Baada ya muda takribani mwaka imerudi tena nini chanzo au upasuaji ulifanywa kwa juu juu tu.

Msaada madokta
Pole.
Kwanza wanaume tujifunze na kielewa tezi dume ni nini.
Si ugonjwa. Ni maumbile wanaume tumeumbwa nayo sawasawa na wanawake walivyoumbwa na matiti. Je tuseme matiti ni ugonjwa? Ila kwetu sisi, ukuaji wa tezi huingilia kubana njia ya kutolea haja ndogo, na mara nyingine saratani sawa na kima mama kupata saratani ya matiti ndipo huleta changamoto. Ila siyo kila tezi dume litapatwa saratani na si kila tezi dume litahitaji upasuaji. Endelea kufuata ushauri wa madaktari uchukue uamuzi sahihi.
 
Pole sana kwa changamoto hyo.tezi dume inatibika bila operesheni.ni rahisi sana.chukua majani ya mpapai + migomba+mbaazi tengenezea juice ya kijani bila kuchemsha kwnye moto then kunywa asubuh na jioni kikombe cha nusu lita.utapona kabisa huku ukimtegemea MUNGU.
Unamdanganya mwenzio!
 
Hiyo haikuwa tezi dume coz ikiondolewa hairudi, hicho ni organ ikishaondolewa haioti.
 
Pole sana kwa changamoto hyo.tezi dume inatibika bila operesheni.ni rahisi sana.chukua majani ya mpapai + migomba+mbaazi tengenezea juice ya kijani bila kuchemsha kwnye moto then kunywa asubuh na jioni kikombe cha nusu lita.utapona kabisa huku ukimtegemea MUNGU.
Nimeshatibu mzee alikuwa stage 4 amerudishwa ili afe, akaishi more 4 years alikuja kufa kwa enimonia. Tena bugando ambapo walimkataa akarudishwa hospitali ya wilaya kuja kusubiri kifo. Ndugu waliweka matanga wanachoka ikabidi waondoke
 
Pole mkuu, ila sijapenda picha yako ukifanyiwa hiyo operesheni!!
By the way hiyo ikirudi rudi naskia hugeuka kuwa kansa,
Siyo lazima iwe hivyo mkuu. Inategemea na mambo kadhaa. Inawezekana hata hiyo surgery ya kwanza ilikuwa ya kimagumashi tu hasa kama alifanyia Bongo ambako utaalam ni wa kubabaisha sehemu nyingi.
 
Nahisi dalili zote za kuvimba kwa tezi dume nimepitia comments humu nimechanganyikiwa zaidi
Ngoja nijipeleke hospital nione wataniambiaje
 
Back
Top Bottom