jaman network searchng....., available, searchn............., jaman wanawake wafanyabiashara ni balaa tupu! Simu haizimwi,nimechoka naye, ugomv wetu ni cmu, uko uwanjan hajal ni kona, goalkick, au ...yeye utackia kesho utawah folen ya sukari?, viroba leta nane!,jaman inatisha, ugomvi unaanza...