Nani awaoe MASHOGA wa Tanzania?

siku si nyingi utasikia wanaweka sifa uendi uk au kupiga box bila kuwa shoga au basha
 
daah,ningekuwa J*kwete ningechukua makabrasha fasta na kurudi tz muda huohuo. Hzo ni dharau. Ningefika na kuadress bunge fasta juu ya matusi ya kamerun na hatua gan tujiandae nazo kupinga udhalilishwaji.
 
Alichosema Cameron ni ushenzi, upuuzi na ujinga mkubwa kabisa. Hapo hamna cha haki za binadamu wala nini ni ufirauni mtupu, hivi yeye akisikia mtoto wake wa kiume kaamua kushikishwa ukuta atafurahi kabisa hatamkataza kuchelea kuvunja haki za binadamu. Sasa endapo UK wakipitisha sheria ya kuhalalisha incest(kaka na dada/kijana na mamaye/binti na babaye kukutana kimwili) nasi pia tutaikubali?, au wakipitisha sheria ya kuhalalisha abortion nasi pia tukubali. Naungana na mchangiaji wa hapo juu kwamba Kikwete yampasa kutoa tamko, to hell with the grant they are giving to the government, kwanza grant yenyewe hata haifiki $bil1 tunaweza kuipata kwenye maliasili zetu.
Ila nikikumbuka sheria ya ugaidi ilivyopitishwa haraka haraka kushinda hata huko UK kwenyewe napata wasiwasi.
 
pumbavu sana huyu shuwaini Mr.Gay Cameroun,huyu siku akija bongo lazima nimtongoze nimuoe yeye ili nimpulize vizuri. Nalog off
 
CDM itisheni maandamano ya kulaani Uingereza kwa kutoa masharti yasiyokuwa ya kibinadamu.

Are you serious? CDM na chama cha CONSERVATIVE cha UINGEREZA ni marafiki wa kudumu! Na nadhani hii ni sera ya vyama vyote hivyo viwili! Sasa unataka waitishe maandamano ya kupinga? Halafu kama kanisa na Uingereza (Anglican ) limeridhia hili CDM haiwezi fanaya lolote!
 
Back
Top Bottom