tena nahisi MMkwere na Mwema watakuwa wameuwa zaidi ya hao yaani ni zaidi ya15 risasi za moto zimepigwa mchana kutwa tena ovyo ovyoSheet...tisa tu?...!!
Wafanye fujo wao, wavunje mali za watu wao, wakiambiwa tulieni warushe mawe waumize watu wakidhibitiwa "oohh ccm" nyie vipi nyie? wale walikuwa na sababu ipi ya kuandamana na kufanya fujo? kama si kuwa na nia ya kudhuru watu na kuharibu mali za watu?
Hawatoshi kwa kitoweo au?Sheet...tisa tu?...!!
TBC wamenishangaza sana kwenye taarifa yao ya habari(redio), badala ya kutuambia kilichojiri na maafa yaliyotokea, wanatanga maazimio ya Kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Mbeya. Aibu tupu.
Asee, hebu nitumie mimi baba gilesi hizo photoz nizipachike hapa bana!! acha uhuni bana.Watu tisa waliouawa leo wako kwenye mochwari ya Rufaa.
Polisi mpaka muda huu wamekaa kimya wakati ni wao waliowaua kwa risasi. Nimezipiga maiti hizo picha kwa camera ya simu ndo maana sijaziatach, kesho zitakuwa hewani
Nafikiri Jeshi la Polisi na Serikali ya Chama cha Mapinduzi bado hakijashtukia kuwa kwa sasa risasi na mabomu ya machozi hayawezi kutuliza wananchi.Watapiga sana wananchi kwa sasa...tutasikia mkoa mmoja baada ya mwingine watu wakiandamana na kujipanda kupinga udhalimu wa serikali ya CCM.Tutafika...
"TUSI" Weeee...Wafanye fujo wao, wavunje mali za watu wao, wakiambiwa tulieni warushe mawe waumize watu wakidhibitiwa "oohh ccm" nyie vipi nyie? wale walikuwa na sababu ipi ya kuandamana na kufanya fujo? kama si kuwa na nia ya kudhuru watu na kuharibu mali za watu?
Ocampo huko wapi sikia kilio chetu okampo leta bahasha okampo huku tanzania kenya ushawaonyesha fanya hivyo na kwetu
Wafanye fujo wao, wavunje mali za watu wao, wakiambiwa tulieni warushe mawe waumize watu wakidhibitiwa "oohh ccm" nyie vipi nyie? wale walikuwa na sababu ipi ya kuandamana na kufanya fujo? kama si kuwa na nia ya kudhuru watu na kuharibu mali za watu?
ngoja nimp ocambo, adabu cku hz hakuna ndan ya vyombo vya dola.