Recent content by KINUKAMORI

  1. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna Fao la Kujitoa NSSF duniani kote - Ramadhan Dau

    Huyu Dau amenikera nimemchukia na ukoo wangu wote, yani hii nchi mnyonge mnyongeni, kwavile wao wameshajilimbikizia mali wana zakuwatosha. Leo hii nisubiri miaka 55 naishi nyumba mbavu za mbwa, watoto hawakusoma, hiyo hela itanisaidia nini wakati huo, nguvu yenyewe sina wakati huo hata nguvu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kumbe alikuwa na kumi na mmoja!

    aisee huyo jamaa alieshuti ni mtu muhimu atapatikanaje
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hii imetokea mda si mrefu Arusha

    hebu toa maelezo ya picha ulivoona ni toyo au kisu,, dah pole mtu wangu
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hata hapa bongo tunaweza kutoboa miamba

    https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=64965&stc=1&d=1347626664
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hadi kieleweke kitoweo lazima tupate

    https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=64963&stc=1&d=1347626104
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco yaanza ku-bp wananchi Arusha

    Naona wewe Wagaba ulikuwa zzzzzzzzzzzzz hukujua kilichoendelea usiku unaweza ukaibwa na familia yako bila kujitambua! kwa kawaida Tanesco ndo wakwanza wangetoa tangazo lkn wamekua kimya na si maramoja, mambo ya simu hayajaanza leo kutoa report za uongo kumbe kuna uhalifu either unatendeka mahali...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Baraza kuu UVCCM wailaani CHADEMA kwa siasa za fujo na mauaji; Je, ni sawa?

    CCM hawajickii vibaya hata kusema wanakikao na kuanza kujadili m4c??? Nafkiri hawana kazi kila kukicha wanakuna Vichwa kuhusu cdm maana ni kiboko yao, mauwaji yanafanywa na uongozi wao na sio chadema,siku zote cdm ikiwa na mikutano yake polisi wasipokuwepo hakuna kinachoharibika NI AMANI FULL...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaamuru Mbowe akamatwe

    Walikuwa wapi siku zote hii nikupotezeana muda tu kwa vile wanajua tuko kasi m4c, isitoshe wakili wake anatosha kumuakilisha. waache ujuha....
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tanesco yaanza ku-bp wananchi Arusha

    Tanesco tunaomba kupata taarifa,tatizo la kukatika umeme toka juzi masaa ya jioni kuna tatizo gani????????? Usiku umeme unakatika karibia mara 5 na kurudi mnatuharibia vyombo, tupeni taarifa kuna tatizo gani???:baby:
  10. K

    JamiiForums Tanzania Arusha Press Club tumeaibisha - Kifo cha Mwangosi

    Waandishi woga wekeni pembeni jikomboeni, hii serikali bila bango haitendi haki,tafadhalini jikomboeni tutawaunga mkono, bila nyie tutauwawa wengi na kuchimbiwa kimyakimya nani atatuhabarisha.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tokeni kati yao mkajitenge nao nayo nuru yenu ipate kuangaza!

    Ccm ianze kutafutiwa sanda
  12. K

    JamiiForums Tanzania Makamanda nishati na madini kiboko

    At list kuna ka mwendo sijaona tatizo la umeme, ufisadi ulikua ndani yake
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mapokezi Ya Filikunjombe Yatikisa Ludewa

    Hilo gari lenye mchanganyiko wa bendera ni sawa na kila penye mamba na vimijusi vimo
  14. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA na KUSADIKIKA...

    Ccm itakuja kusahaulika hadi kwa watoto wetu
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tume ya waziri Nchimbi ya kuchunguza mauwaji ya Mwangosi yaibiwa hotelini

    waunde tena tume yakuchunguza laptop kuibiwa maana kila kitu kinaundiwa tume, TUME + TUME = TUMEZ
Back
Top Bottom