Tume ya waziri Nchimbi ya kuchunguza mauwaji ya Mwangosi yaibiwa hotelini

Wanajiibia wenyewe tu ili kupoteza uhalali wa report.

All Planned
 
Isije ikawa hakuna wizi wowote ....na hii habari ni "promo"..... imeletwa hapa ili tujue kwamba tume ipo Iringa na imeanza kazi.......siasa bwana....
 
kazi ipo hapa ngoja tusubiri maingizo na usanii wa jambo hili na mwisho wake wake utakuwaje
 
Duh! Mkuu kwenye incinerator ya gas si hata majivu kwa ajili ya forensic investigation yatakosekana? Tume na kamati vitashindwa kufanya uchunguzi hewa, hata karipoti ka kugereshea katakosekana aisee. Punguza hasira
nikina bendera ya hilo chama la wezi natamani niichome moto kwa gesi au kwenye lile tanuru la kuyeyushia chuma
 
Kiswahili si lugha ngumu hivyo; miye nilifikiria ni tume yenyewe imeibwa!!

Mku inawezakana hata Tume yenyewe ikaibwa. Kama wajaanza kuubia mwishowe wataiiba yenyewe kabisa.

Hivi hii Tume (wenyewe wanaiita kamati) inafanya uchunguzi gani wakati kesi ya mauaji ya Mwangosi iko mahakamani? Hakutakuwa na uingiliaji wa mahakama hapa?
 
Chezea usalama wa taifa wewe? Ile kitu was planed Top-Down! Kazi haswaaa!
 
Ningependa tu kupata walau dodoso kwa wanaolijua vizuri hili, mnavyoona huu ni mpango ama sio mpango? Je, kama si mpango hii laptop imeibiwa na wanachi wanaotaka kujua serikali inapanga ujinga gani au imeibwa na Polisi wanaotaka kufanya tofauti na waziri Nchimbi anavyofikiria kufanya?
 
Nchimbi ni mafia wanaofikiri amewekwa wizara ya mambo ya ndani kwa bahati mbaya wanakosea,ana roho mbaya sana huyu jamaa kamuhanda ni jammaaa yake aliua wanne songea kamuhamishia iringa!!!!!!!!!!!!nchimbi ni zaidi ya mwanamtandao kwa kikwete tutashuhudia zaid ya yaliomkuta mwangosi chini ya uongozi wake!!!!!!!!!!!!
 
Hata mimi cjui hiyo tume ni ya kazi gani. Wauaji wanajulikana! Hivi kweli unaweza kuliundia tume suala ambalo liko wazi namana hiyo.Serikali hii bwana inachekesha kweli. Hapohapo Nchimbi anadai hakuna mwenye uwezo wa kuiongoza wizara zaidi yake! Yaani vituko juu ya vituko!
Nchimbi damu ya mtu haimwagiki hovyo, hapa wanaanza kuumana wenyewe kwa wenyewe hamjijui hata mnachofanya mmechanganyikiwa. Suala la mauwaji liko wazi linajieleza tume/kamati za nini? Mmeuwa mwandishi sasa mtauwana wenyewe. Idiot Nchimbi na serikali yako
 
Nchimbi, IGP, Chagonja na kamanda wa Iringa na kwa ujumla polisi yote kinachowaharibia sana ni kuendesha mambo ki amri amri tu bila kutumia weledi kwa sababu polisi kuna wataalamu wengi lakini sio wa upolisi wapo wahasibu kibao, wahandisi kibao, sociology kibao, sheria kibao, diplomasia wengi na kusema kweli sekta hii haina mwenye taaluma ya upolisi pa se ndo maana kuna vurugu na kazi zinafanywa ovyo ovyo bila ata brefing & debrefing ni ivi karibuni wameanzisha Diploma in police science ambapo waitimu ndo hasa wataalamu wa upolisi.
 
Back
Top Bottom