Mapokezi Ya Filikunjombe Yatikisa Ludewa

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwa katika usafiri wa punda baada ya kupokelewa leo jimboni kwake kutokana na uamuzi wake wa kutia sahihi katika fomu maalum bungeni ya kutokuwa na imani na waziri mkuu Mizengo Pinda na kupelekea kuvunjwa kwa baraza la mawaziri hivi karibuni​
























kiongozi wa Chadema wilaya ya Ludewa akiwa katika mkutano wa kumpokea mbunge Deo Filikunjombe sasa ,mkutano unaoendelea uwanja wa mpira wa Ludewa mjini
Wakazi wa Ludewa wakiwa na mabango yenye jumbe mbali mbali za kumpongeza mbunge wao Deo Filikunjombe kwa kupambana na ufisadi
Maandamano makubwa ya kumpokea mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe (CCM)









Mbunge wa jimbo la Ludewa akiwa katika usafiri wa punda baada ya kupokelewa na kutembea zaidi ya kilometa 5 hadi mjini Ludewa leo
Baadhi ya wanafunzi wanaosomesha na mbunge Filikunjombe Ludewa waki
Vyama vya upinzani na CCM Ludewa vyaungana katika mapokezi hayo.









Maandamano makubwa ya kumpokea shujaa wa kupambana na vitendo vya ufisadi mbunge Deo Filikunjombe leo.









Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwa katika usafiri wa punda baada ya kupokelewa leo jimboni kwake kutokana na uamuzi wake wa kutia sahihi katika fomu maalum bungeni ya kutokuwa na imani na waziri mkuu Mizengo Pinda na kupelekea kuvunjwa kwa baraza la mawaziri hivi karibuni.
 

Wakati napita pita Naona hizo furaha za Mbunge wa CCM; Naona gari lina Bendera ya CCM imeng'atwa Mlangoni lakini MBELE YA HILO GARI

BENDERA YA CUF... LIMENIFURAHISHA ...
 

NIMEIPENDA HII PICHA , MAANA VYAMA RAFIKI kama CUF na TLP huwa hawakonyuma katika maigizo ya wahuni kama hawa
 
Adui yako mwombee njaa kamwe maishani mwangu sitatumia muda na uhai nilijaliwa na mwenyezi Mungu kuwatumikia wanasiasa ili wazidi kuneemeka wao na familia zao; bora nikanyeshee bustani zangu
 
jamaa ni jembe tatizo hiyo rangi aliyovaa inanifanya nimwangalie kwa mashaka
 
hongera zake ndio mwanzo wa ccm kuongea maana jamaa amefunika ile mbaya ufisadi pembeni kabisa
 

Ndiyo nini hii? Kwamba TLP na CUF ni wanandoa na CCM?

Kwa tafsiri ya haraka haraka ni kwamba TLP na CUF hawana mpango wa kuingia ndani ya gari (Kutawala) kwa sasa, ila wanaogombania mlango wa kuingia ndani (kutawala) ni CCM na CDM. Hata hali ya kisiasa nchini inaunga mkono tafsiri hii.
 
Back
Top Bottom