Kumbe alikuwa na kumi na mmoja!

Kumbe alikuwa na kumi na mmoja!

Hussein Njovu

Senior Member
Joined
Sep 25, 2006
Posts
186
Reaction score
74
252566_440047349370572_1665152284_n.jpg
 
Mungu ni mkubwa yaani uzao mmoja kumi na moja mara mbili timu ya mpira
 
ukijifungua kama hao kwa mpigo,hakuna haja ya ujauzito mwingine
 
AMETAKASIKA MWENYE EZ MUNGU, MBORA WA KUUMBA,... kwake kila kitu KINAWEZEKANA, NA DAIMA HASHINDWI NA LOLOTE KATIKA UUMBAJI WAKE! NAE HANA KOSA KATIKA UUMBAJI WAKE ... NA HIMIDI ZOTE ZINAMSTAHIKI YEYE AFANYAE JAMBO MPAKA WATU KUONA MUUJIZA , LAKINI KWAKE HUWA NI JAMBO DOGO SANA! ALLAHU AKBAR!
 
Mtu unaweza kukimbia nyumba yako mwenyewe.


Mkuu sio kukimbia peke yake.. Hata kujinyonga ucionekane kwenye uso wa dunia..! Inanikumbusha hivi karibuni mwananchi mmoja alienda kumuangalia mke wake hospital ambae alikuwa amejifungua.. Nyumbani tayari alikuwa na watoto wawili na hali ya maisha ilikuwa inabana ile mbaya.. Baada ya kuingia wodini alimkuta mkewe akiwa amejifungua watoto watatu..! Masikini mwananchi huyu aliaga na kusema atarudi jioni.. Ndio hakuonekana tena na ikabidi yule mama aombe msaada kwenye vyombo vya habari kutangaza shida yake ili wananchi wamsaidie..
 
Mashallah! Inshallah mwenyezi mungu anijalie japo mapacha au hat kama hao sijali kwani Mungu hakupi kilema akakukosesha mwendo...
 
daah!hii haina mfano, pole yake mzazi hapo hakuna hongera
 
Jamani hii ya kweli?

Nikweli kabisa but ni sikunyingi sana Kama sikosei imeshapita miaka 5 toka ajifungue Hao watoto na alishakua na watoto wengine 6 anaitwa nadia suleiman anaishi huko USA
 
kuna mzee mmoja Moshi mjini alikuwa dereva wa magari ya marangu moshi mjini yeye alikuwa anaitwa 3*2.

yeye alimimba mkewe mimba ya triplets uzao wa kwanza, uzao wa pili tena mama akaleta triplets lol! ilibidi aombe afungwe kizazi manake angepata tena ingekuwa balaa. Uzuri Mungu ni mkuu sana wanae hawa mapacha wote wako hai ni wakubwa uzao wa kwanza miaka 15 sasa na wa pili miaka 11.
 
Back
Top Bottom