Recent content by kinjo morgan

  1. K

    Majina 400 ya Vijana waliofaulu Usahili wa TRA

    Hapo umechanganya hlo jina lenye namba 655 ni written na hlo la pili ni matokeo baada ya oral
  2. K

    Naombeni ushauri: Mpenzi wangu amebakwa

    Wakata anabakwa hakukuwa na watu hapo nyumban? Alijaribu vp kuzuia asibakwe? Alipiga kelele? Alibakiwa wap? Kutoka alipokuwa mpaka alipobakiwa alitumia jitihada gan kujinasua?
  3. K

    Taratibu anguko linakuja, mwisho wa utawala wa CCM ndio huu!

    'To stand with for sake' Nimependa hiki kiingereza
  4. K

    Dr. Leakey Abdallah yupo TV 1

    Eddo ni mmoja wa wachambuz mahir sana kwenye kizaz cha sasa na namkubali sana kwenye upande wa creativity kwangu mimi naona dr leaky ni mzur sana kwenye historia kuliko kuuchambua mchezo wenyewe
  5. K

    Billnas wenzako hawajaanza ivo!

    Moja kati ya interview ambazo uwa naenjoy ni ya huyu kijana. Anajua kujieleza na binafs sijawah kuona hayo maringo
  6. K

    Kuitwa kwenye interview TRA post za diploma

    Barua ipi mkuu? Maana mdogo wangu ananiambia ye kapgiwa simu tu
  7. K

    Kuitwa kwenye interview TRA post za diploma

    Wadau naomba kuuliza interview za walioitwa (za dilploma)na TRA zitafanyika wap?
  8. K

    Kuitwa kwenye interview TRA post za diploma

    Interview itafanyika wap?
  9. K

    Bunge Live! J KIKWETE Tutakukumbuka

    'Reader' ukiwa na maana ya kiongoz au msomaj?,,,,,tumien kiswahil
  10. K

    Series (Special thread)

    Wadau msaada kwenye tuta mie uwa niki2mia site ya o2tvseries kupakua muv uwa inatoka na quality mbovu labda ni minimize screen ndo naona inaonekana poa ila kwa full screen uwa inaonekana vibaya nifanyaje?
  11. K

    Kaniwekea dawa za kulevya kwenye wine na kunibaka

    Go and get tested first and if ur fine forgive and forget and warn him
  12. K

    Natafuta mpenzi

    Weka namba
Back
Top Bottom