Bado anayo?Ndio huyu mmoja sasa.....
Nina mpenzi wangu wote tunasoma a level ana miaka 19, tuna date sasa mwaka wa 3 tulikubaliana tusisex had tutakapokuwa tayari, tunapendana na tuna mipango mingi future. Jana wakati tuna chat alinambia kuwa mwezi wa 12 alipokuwa likizo alibakwa na mpangaji anayekaa nyumba moja na Dada yake na kumsababishia apoteze usichana wake.
Mwanzoni nilipaniki nikidhan labda alinicheat ila baada ya kunambia vizuri ninamuonea huruma sana kwa sababu Nina muamini yeye ni mcha mungu sana na alikuwa anatunza usichana wake sababu ana hofu ya mungu na hakupenda kumpa zawad ya usichana wake MTU ambaye amembaka.
Bahati mbaya hakureport hilo tukio kokote Jana ndio akaamua aniambie mm ukweli. Nimejaribu kumbembeleza asahau yote nimeshindwa na ninaumia kwa kuwa ni MTU ninayempenda sana na mwezi wa 5 anatakiwa afanye mtihan wa form six.
Please naombeni ushauri nimsaidie VP kwa kuwa hata familia yake haijui chochote ameamua kuniambia Mimi ili angalau moyo Wake utulie.






Una umri gani.. Isije na Sie tukakubaka na ushauri wetu.. Ukashindwa hata kumaliza Shule..

We dogo huyo manzi anakupanga, hajabakwa wala nini ila amekuandaa kisaikolojia tu. Mtoto wa kike halafu denti kuishi katika mazingira hayo ya kipangaji na kuna msela jirani ni nadra sana asiwe analiwa hasa kama wanashea apartment na demu akiwa anabanwa sana na dadaake.Hii ina maana jamaa ndio company yake mara nyingi hasa akitoka kwenye mishe zake ama siku za weekend na kuna uwezekano mkubwa ni mtu anaeheshimika sana na dada wa huyo demu wako hivyo huachiwa jukumu la kumlinda demu wako pia wakiwa hawapo aidha wamesafiri n.k.
Tushafanya sana hio michezo na mwisho kutiana kimasihara mara kukimbizana, mara kumwagiana maji, mara kutenkenyana mtoto anashikwa kiuno tu anacheka cheka, mara ngwala na mwisho nyege hufanya maamuzi. Ni mpeke tu...na hapo kuna dalili zote kuwa gemu ya kwanza ilipigiwa kwenye kochi lao kubwa lile.
Uzuri wa gemu zinazoanza kienyeji huwa ni tamu mno na hazinaga mkataba rasmi hivyo unajipigia unavyotaka tu kadri mazingira yanavyoruhusu na vile mnakaa nyumba moja ndio dah, hii inaashiria demu wako ameshachapwa nao sana toka muda alokwambia amebakwa regardless ndio alitolewa bikra au la ila kwa sasa jamaa ndio kashahama hilo eneo so hawatakuwa wanonana kirahisi. Ndio maana katoa ripoti ya kinafiki tu tena very late ila kwa kuwa unampenda utaamini ndio ilivyo.
So dogo kuwa makini, na huo niliokupa ndio uhalisia wa kilichotokea. Ni wewe tu kuchagua kusuka au kunyoa mwisho wa siku ukiprove haya niliokwambia kwa huyo demu wako.
ulikuwepo!!?Huyo MTU alimbaka alipanga nyumba moja na Dada ake ambae alikuwa ameolewa na anaishi na familia yake hapo Siku ya tukio Dada ake mume wake walisafiri so alikuwa peke yake na huyo jamaa na sababu wanashea mlango mmoja wa nyumba ndo mana hilo tukio likafanyika, ameshindwa kureport sababu ya aibu hapendi familia yake na watu wengine wajue baada ya Dada ake kurudi huyo jamaa nae alihama. Na hilo tukio halijarudia tena baada ya hapo, ninamfahamu vizuri kitabia na ninajua asingeweza kunidanganya na hadi anaamua kuniambia Mimi sikuwa nimemuomba tufanye ngono yeye ndo aliniomba aniambie. Kitu kizuri hajapata ujauzito ila bado hajapima HIV pia alinambia hakupata magonjwa yoyote ya ngono.
Seriously!!!!!!muulize alipata utamu?
Koma Na shule Dogo.Miaka 20 Still You have a long way To go..Mapenzi usiyape Nafasi kiasi hiki.Na uyo Sio Wako after only 2 yrs.Miaka 20
Akili za kuambiwa ... Asingekua bikira kabla ya kumfahamu asingekutaarifu. Nina mashaka na mazingira ya ubakaji