Kuitwa kwenye interview TRA post za diploma

hili taifa silielewi sijui utaratibu gani huu daah 2020 sitakubali kabisa bora kupotea huu uchwara kumbe
Kumbe kuelewa nacho kipaji aisee,sasa hapo kinachokuchanganya nini?? Kwani ukifanya Leo interview na kazi ukaanza mwezi wa 9 kuna athari gani kwa zuio LA uhakiki??
 
Kama wanaita watu basi uhakiki umeisha....maana usahili ni sehemu ya ajira na ndo maana sekretariat ya ajira walisitisha usahili wote waliokuwa washautangaza....
 
Kw taarifa zaidi waliosoma kodi ktk chuo cha kodi ITA wao wameitwa na kupewa barua kuanza kazi direct kutokana na uhaba wa wafanyakazi
 
vip kwa nyie mlioitwa kigezo cha umri wanakiangalia 25yrs maana nakumbuka zilikua na limitation ya miaka
Halafu kigezo cha umri hivi kinatoka wapi ? Maana nilisikia hata ajira nyeti wanapendelewa vijana. Inabidi tupinge ubaguzi wa aina zote kuanzia umri hadi rangi katika ajira zetu .
 
Kw taarifa zaidi waliosoma kodi ktk chuo cha kodi ITA wao wameitwa na kupewa barua kuanza kazi direct kutokana na uhaba wa wafanyakazi

Mkuu kazi wanaanza lini?
Maana hawa nao ni watumishi wa umma ambao in turn ajira zao zimesitishwa....
Sema mimi nimeanza kuhisi kitu kimoja...kwamba hili zuio la ajira litakuwa linaondolewa kimya kimya kwa taasisi ambazo zina unyeti wa kuhitaji watu....Mfano TRA inahitaji nguvu kazi ili kodi ikusanywe....Na kuna baadhi ya kada zitaenda hata mpaka mwaka kesho bado wanaambiwa ajira zimesitishwa..
 
Back
Top Bottom