Recent content by king11

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati na Madini Watawazuia wananchi wa kawaida kupata fulsa ya sekta ya gesi

    Kutokana na fulsa zilizotakiwa watanzania waweze kusoma masuala ya gesi na mafuta lakini mpaka sasa nafasi hizi kwenye website ya wizara ya madini zimefungwa na wajanja wachache hili zisifunguke na watoto wao wakiwasambazia ujumbe na kuwapa tangazo hilo . Je waziri analifahamu tatizo hilo au nae...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha mishahara kwa fresh graduates kilichowekwa na serikali

    kwenye vyama vya siasa wanalipa mpaka 1,000,000 kazi za ukatibu wa wilaya
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi CCM Sumaye apaniwa Hanang

    ​kwanini asingegombea ukatibu au unaibu katibu wa CCM wilaya ambao moja kwa moja wanaingia NEC?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Mwananchi na hongo toka Mgodi wa Barrick

    Kazi hipo sasa kumbe ndio namna ya kuyafumba magazeti yetu mdomo? nadhani wakishindwa kwa njia hii basi watayanunua kabisa na kuyazima kama enzi za rai ikauzwa na kuchinjwa kabisa
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Wabunge wawili wa CHADEMA wapigwa mapanga na mmoja yupo hoi!

    kama kuna uwezekano watu wanase mawasiliano ya wabunge wa zamani wa majimbo hayo lazima watakuwa wamewatuma vijana hao hili wakiwaua ufanyike uchaguzi mdogo wapate kurejea bungeni
  6. K

    JamiiForums Tanzania Madalali wa kuwatafutia watu kazi

    ​kampuni hizi zinamadhara makubwa sana kwani zinapelekea ukilitimba wa ajira....koo zenye influence na kampuni hizi ndizo wanapata kazi nzuri lakini wengine wanabaki kutuma CV tu
  7. K

    JamiiForums Tanzania Madaktari Ocean Road watoa tamko kuunga mkono Mgomo; Waweka vifaa chini

    tatizo si madaktari tatizo ni wananchi sisi hatuna mkataba na madaktari bali tunamkataba na serikali ambayo ndio tumeiweka madarakani hivyo basi tunatakiwa tuwaambie serikali wahakikishe tunapata huduma ya afya pasipo kujua kuwa madaktari wamegoma au lah....hatuna mkataba na madaktari bali...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nape: CCM ikishindwa Arumeru ujue chama kitakuwa kinakufa

    nimempa challenge tu ata mimi ni mskaji wangu pia tumezoeana kutaniana. Lakini kitu kikubwa ninachokiona anapenda kutoa mada nje ya mstari.....any way sikuwa na lengo la kumtukana wala kumdharau lakini ni lugha ya kumshtua tu mwanaharakati wetu.tupo pamoja
  9. K

    JamiiForums Tanzania Nape: CCM ikishindwa Arumeru ujue chama kitakuwa kinakufa

    kwani wewe ndiye unaeamua hoja ina mashiko au haina mashiko humu kuna uhuru wa kuchagua mada gani unayotaka kuifuatilia , kama hupendi mada fulani elekea kwenye mada zenye msisimuko kwako sio kila mada lazima uchangie
  10. K

    JamiiForums Tanzania Nape: CCM ikishindwa Arumeru ujue chama kitakuwa kinakufa

    kisichoeleweka ni nini ? au unatatizo la kusoma vizuri?....nilimpigia simu binafsi akatoa majibu hayo
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nape: CCM ikishindwa Arumeru ujue chama kitakuwa kinakufa

    nape kupitia katika simu yake ya mkononi amesema CCm lazima kishinde Arumeru , kwani ni chama makini na kama kikishindwa ujue kimeanza kufa, nayeye anaamini chama hiko bado kipo imara hivyo kitashinda Arumeru. Source:Nape Mnauye
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wameshindwa na wamechoka kuiongoza Tanzania,ni zamu ya wengine sasa

    Katiba inatambua wananchi ndi wenye nguvu na mamlaka .kama wameona wanasiasa wameshindwa njia ni moja kuwanyanganya madaraka na kuwapa watendaji
  13. K

    JamiiForums Tanzania Rostam ajipanga kuikimbia Tanzania; kutimkia Malaysia

    ni lazima tutunze rasilimali zetu na tusiache wageni pekee wanufaike nazo
  14. K

    JamiiForums Tanzania CUF yatangaza kutoshiriki uchaguzi wa Arumeru Mashariki

    ​jamani hiki ni kitendo cha kuwapongeza CUF na si kukumbusha migogoro yao na wapinzani
  15. K

    JamiiForums Tanzania iPad 1 inauzwa

    ​naona zimeanza kushuka bei zikifika laki moja tu ndio watu wa kawaida tutaanza kuchekelea
Back
Top Bottom