Madalali wa kuwatafutia watu kazi

ZE DONE

JF-Expert Member
Mar 3, 2012
212
320
Ndugu Wana JF kwa madiba wenzetu wameandamana juu ya makampuni ya kutafutia watu kazi hapa kwetu yanazaliwa kama mchwa mara GINIUS mara PES mara DELOITE,Empower Limited, Global Careers Recruitment Agency, Global Careers Company na mengine mengi........... na mengi ya hayo ni ya wahindi

tuendelee kulala
 
Eleza kwa nini wameandamana sio tu kulaumu kuwa tumelala jenga hoja mkuu ili kama kuna la faida lifanyiwe kazi. Hatuwezi kuandamana bila kujua tunachoandamania vinginevyo hata sisi tungekuwa kwenye mgomo wa madaktari Tanzania sasa sijui ni kazi gani au huduma gani ingeendelea.
 
​kampuni hizi zinamadhara makubwa sana kwani zinapelekea ukilitimba wa ajira....koo zenye influence na kampuni hizi ndizo wanapata kazi nzuri lakini wengine wanabaki kutuma CV tu
 
Mkuu hapa sizungumzii tuandamane wenzetu wamefikia huko na hapa kwetu siku tutafika huko kama wenye dhamana wakiendelea kuyabariki. Lakin mkubwa naonekana nimegusa kaajira kako.... hawa ni madalali ndugu na hawafai. wanaumiza vijana
 
Kusajili kampuni ni uthubutu na utashi wa kibiashara hivyo kama unaona waweza kuwa na uthubutu nawe kasajili yako
 
Ukweli ni kwamba Wizara ya Kazi, imesahau kabisa majukumu yake. Na hata kma inatekeleza bado imegubikwa na ukiritimba wa hali ya juu. Sijawahi kusikia watoto wa wenye NCHI wakitafuta kazi au nafasi za field kwa mateso kama ilivyo kwa sisi walala hoi.
 
Back
Top Bottom