Nape: CCM ikishindwa Arumeru ujue chama kitakuwa kinakufa

Nape: CCM ikishindwa Arumeru ujue chama kitakuwa kinakufa

Hakika, NASEMA KWA HAKIKA NDOTO ZINGINE NI ZA AJABU SANA, KUNA WATU WANAOTA MPAKA WANADHANI NI KWELI NDOTO ZAO ZINZTIMIA KUWA CCM INAKUFA.....BY THE WAY KADRI MNAVYOIOMBEA MABAYA CCM NDIVYO MNAVYOTUOMBEA AFYA NA MAISHA TELE...SO ENDELEENI KUOTA

Very shallow for a leader...

Eleza ni kwa vipi CCM haitakufa?

Hakuna marefu yasiyo na ncha..lol
 
Very shallow for a leader...

Eleza ni kwa vipi CCM haitakufa?

Hakuna marefu yasiyo na ncha..lol

Shallow kwa kipimo chako,unakurupuka kisa umetumwa kutukana na kupinga kila kitu asemacho Nape, mwaka huu mnalo
 
Shallow kwa kipimo chako,unakurupuka kisa umetumwa kutukana na kupinga kila kitu asemacho Nape, mwaka huu mnalo

Low thinking capacity..

Fafanua ni kwa vipi CCM haitakufa..acha kutoka mapofu mkuu

Naona unaleta ngojera
 
Mbona CCM ni mzimu unaotembea? Marehemu hafi mara mbili
 
Low thinking capacity..

Fafanua ni kwa vipi CCM haitakufa..acha kutoka mapofu mkuu

Naona unaleta ngojera
Hata wewe? Mzee wewe huwa unaitete serikali ya Kikwete hadi tunadhani unalipwa mshahara na JK. Limekupata lipi tena la kumshushua kada mwenzio, kwani yeye si wa "kundi" lenu lile la gogo vivu?
 
hoja haina mshiko !!!!!!!!!!!!!!!!!

kwani wewe ndiye unaeamua hoja ina mashiko au haina mashiko humu kuna uhuru wa kuchagua mada gani unayotaka kuifuatilia , kama hupendi mada fulani elekea kwenye mada zenye msisimuko kwako sio kila mada lazima uchangie
 
Shallow kwa kipimo chako,unakurupuka kisa umetumwa kutukana na kupinga kila kitu asemacho Nape, mwaka huu mnalo

punguza jazba kaa mkao wa kukubali matokeo ya Arumeru kwani kwa vyovyote vile kauli yako lazima itakuweka kwenye matatizo. najua lengo lako ni kuonekana unakisaidia chama kinachokufa lakini CCM hakina mwelekeo tena zaidi ya kufa na kungojea kifufuke kikiwa na chama kingine
 
mkuu nape! Mapovu ya nn sasa wakati tunajadili tu! Ona umeshamdhalilisha kada mwenzio ndugu Topical
 
Hakika, NASEMA KWA HAKIKA NDOTO ZINGINE NI ZA AJABU SANA, KUNA WATU WANAOTA MPAKA WANADHANI NI KWELI NDOTO ZAO ZINZTIMIA KUWA CCM INAKUFA.....BY THE WAY KADRI MNAVYOIOMBEA MABAYA CCM NDIVYO MNAVYOTUOMBEA AFYA NA MAISHA TELE...SO ENDELEENI KUOTA
Huna jipya...hovyoooooooooooooooooooooooooooooo
 
inachukiza sana kuona watu wazima wanakosa subira na kuanza kuropoka na kutoa matusi hapa jukwaani.kwanini tusijifunze kukosoa bila kutukana???????????/

mbona mi sijaona tusi hapo khaa..
yan mtu kuchanwa live ndo kutukanwa ebo.... tutaichana live ccm 24 hrs gamba mkubwa wewe..
 
Pole nape wewe unaona ccm ni chama imara kwa kuwaletea watanzania umaskini,kwa kusema uongo kama tendwa,kwa kuua raia bila hatia kutumia polisi kama pale arusha,tarime na songea? Kwa kuiba rasilimali za nchi kama wanyama,madini na pesa bank kuu,mfumuko wa bei,elimu duni na kusababisha mgomo wa madaktari na kusababisha vifo kwa wagonjwa????????????? Wewe hama hicho chama na uendeleze ccj yako pamoja na sita plus mwakyembe..................na hiyo dhambi mliofanya kumsaliti mbunge wa zamani wa kishapu lazime wote mlambe sumu na ngozi ziote magamba............................
 
Hakika, NASEMA KWA HAKIKA NDOTO ZINGINE NI ZA AJABU SANA, KUNA WATU WANAOTA MPAKA WANADHANI NI KWELI NDOTO ZAO ZINZTIMIA KUWA CCM INAKUFA.....BY THE WAY KADRI MNAVYOIOMBEA MABAYA CCM NDIVYO MNAVYOTUOMBEA AFYA NA MAISHA TELE...SO ENDELEENI KUOTA

kumbe upo kaka?

jaribu kuwasiliana na wazee wa arumeru maana yule kada wenu TENDWA kaumbuliwa,mwongezeni mwigulu fungu kwa sababu huku si igunga na nsifikiri machalii wa huku wanakunywa gongo.
muandae hela za kutosha kupiga bia.
huu ni mwezi wa mavuno kwetu,tunasikia ulifanyiwa maombi hivyo tuna wasiwasi unaweza kuwa na hofu ya mungu ukabania fungu.

kumbuka uchaguzi ni 1.4.2015(siku ya wajinga duniani)
 
we king11 mbona wamtusi mshikaji wangu.

nimempa challenge tu ata mimi ni mskaji wangu pia tumezoeana kutaniana. Lakini kitu kikubwa ninachokiona anapenda kutoa mada nje ya mstari.....any way sikuwa na lengo la kumtukana wala kumdharau lakini ni lugha ya kumshtua tu mwanaharakati wetu.tupo pamoja
 
Back
Top Bottom