Recent content by King faisal

  1. King faisal

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Sawa
  2. King faisal

    JamiiForums Tanzania Anayesumbuliwa na vidonda vya tumbo pamoja na mwanamke kutoshika mimba anitafute

    Kikubwa zaidi ni kumtanguliza Mwenyezi Mungu.
  3. King faisal

    JamiiForums Tanzania Anayesumbuliwa na vidonda vya tumbo pamoja na mwanamke kutoshika mimba anitafute

    Kwa vidonda vya tumbo hii ni tiba sahihi, unachotakiwa ni kuitumia ukiwa umeshakula. Usitumie tumbo likiwa wazi, na jitahidi wakati wa tiba,tumia vyakula vya alkaline kwa wingi. Kama tango,parachichi,apple,tikiti n.k. kutengeneza zikaushe kisha saga na upate unga. Jinsi ya kuitumia👇 Changanya...
  4. King faisal

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kutokua na LB inatukosti sana.
  5. King faisal

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hiyo red card ya foden sijaielewa.
  6. King faisal

    JamiiForums Tanzania Anayesumbuliwa na vidonda vya tumbo pamoja na mwanamke kutoshika mimba anitafute

    Kama unataka kupona tumia cayenne pepper 🌶 .
  7. King faisal

    JamiiForums Tanzania Anayesumbuliwa na vidonda vya tumbo pamoja na mwanamke kutoshika mimba anitafute

    Ikiwa kuna dawa moja ya mitishamba ambayo unahitaji kuwa nayo nyumbani kwako milele basi ni hii pilipili ya cayenne.
  8. King faisal

    JamiiForums Tanzania Anayesumbuliwa na vidonda vya tumbo pamoja na mwanamke kutoshika mimba anitafute

    Una mda gani? Tokea uanze kusumbuliwa na peptic ulcer disease. Je umetumia dawa za Antacids,PPI mfano omeprazole,pantoprazolen.k, amoxicillin,clarithromycine na metronidazole na dawa nyingine ambazo cjazitaja kwa mda gani? Mpaka sasa.
  9. King faisal

    JamiiForums Tanzania Anayesumbuliwa na vidonda vya tumbo pamoja na mwanamke kutoshika mimba anitafute

    Mkuu wew fanya uchunguzi utajua kama nachokuambia ni ukweli au uongo.
  10. King faisal

    JamiiForums Tanzania Anayesumbuliwa na vidonda vya tumbo pamoja na mwanamke kutoshika mimba anitafute

    Madonda ya tumbo solution ni pilipili kichaa(cayenne pepper🌶). Kuhusu mwanamke kutokubeba mimba ni suala Pana linalohitaji kujua background yake ya nyuma.
  11. King faisal

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hapa kidogo ndio umeongea point.
  12. King faisal

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Umeandika pumba kama mtu aliyetoka kutawaziwa gongo akalewa kiuno hivi estavio mwenye magoli 2 msimu uliopita ndio quality player. Wewe msimu ulioisha si nimekupiga nje ndani. Ungeandika huu upuuzi ukiwa umeshacheza na United na ukashinda hapo ningekuelewa.
  13. King faisal

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ni usenge usenge tu.
  14. King faisal

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Luke shaw kasahihisha makosa kwa kumpa assist sesko.
  15. King faisal

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Magoli tunayofungwa ni kupitia uchocholo wa luke shaw.
Back
Top Bottom