Oyarzabal ana chuma chake leo mkuuVamos Argentina.
Twende kazi wanangu.
Nani mshindi sasa?Utabiri mechi inaisha 2-1
Pole sana,, tukiachana nahayo, nani unatamani ashinde japo utapata faraja?Vijana wako wa Barcelona wana kazi nyingine ya ziada kumkaba huyu mchezaji kiraka ambaye anaingia na filimbi.
Kamsikilize Raisi wenu wa Barcelona Laporta, wasiwasi wake sio huyo mchezaji wako.
Wasiwasi wake upo kwa huyu
View attachment 3632809
Vamos 🇪🇸Wanangu wa Spain toka mwanzo kabla hata ya mashindano kuanza tujuane hapa
Spain ndio anashabikiwa na weng, hata ukiangalia odds zilivyo Spain anaingia kama favoriteKila mtu anaona kwamba Argentina anaenda kubeba kombe leo mimi kama kawaida yangu hua sishabikii kitu kinachoshabikiwa na wengi. kwa facts nilizotoa kwenye post zilizopita naamini leo bingwa Spain. Let see
Ukiangalia technical capability ni wazi Spain wako vizuri kuliko Argentina hasa eneo kati na nyuma, lakini Argentina kinachowabeba wana spirit ya kupambana sana, afu Leo messi hajawahi kushindwa ...so me naonaKila mtu anaona kwamba Argentina anaenda kubeba kombe leo mimi kama kawaida yangu hua sishabikii kitu kinachoshabikiwa na wengi. kwa facts nilizotoa kwenye post zilizopita naamini leo bingwa Spain. Let see
🤣🤣 umechoka sana?mliopo kwenye huu uzi hakna hata mmoja ambae ni mod amfungie scars kukometn humu!? anaboa AF
Mimi ni mkweli sehemu nyingi ukiachana na masihara nayofanya ila ukinizingatia utaona kuna point.Mkuu for the first time umekua mkweli...
afu Leo messi hajawahi kushindwa ...so me naona
nina boooonge la usingizi afu mwmba analeta chuki zake ananichanganya atoke humu timu zake zishatolewa🤣🤣 umechoka sana?