ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 20,003
- 46,883
Kwani si ndio ilivyo jamani au.
Kumbe utaratibu umebadilika?
Kwani si ndio ilivyo jamani au.
Kumbe utaratibu umebadilika?
Wawe makini hii sio kama mechi za nyuma.Ndio huwa wanaanza na low ball...karibia mechi zao zote walianza hivi.
Atakayepigwa goli hapa timu zitajiachia tu.Sijui ni presha ya fainali. Naona kama vile wanacheza kwa kuviziana.
Acha tuMkuu umeteseka sana haya mashindano😁😁
2030 anaweza akawepo uwezo anaoTunaye sana huyo Messi
Bado mapemaHivi ni mimi tu naiona hii mechi kama sio fainal vile imekaa kienyeji enyeji tu
😃😃😃mliopo kwenye huu uzi hakna hata mmoja ambae ni mod amfungie scars kukometn humu!? anaboa AF
Hamna!!!Ndio huwa wanaanza na low ball...karibia mechi zao zote walianza hivi.