Hatimae mayai ya mbupu zenu wameyapasua 🤣🤣🤣Nayaweza yote kwa yeye anitiaye nguvu
Wafilipi 4:13
1-1 hiiHatimae mayai ya mbupu zenu wameyapasua 🤣🤣🤣
Hizi dakika ni nyingi bado 🤔Dunia itafurahi Sasa ♥️♥️♥️♥️ timu Bora imeshinda
Mkuu natubu😂😂Greatest Of All Time
Umetoka kumdhihaki huyo mwamba dakika 5 hazijaisha
Uwanja ni kama uliinama toka filimbi ya kwanza ya muamuzifainal gani hii
yaan fainal dundo lote anapiga spain
halafu unasema kali hamna kitu humu
Kwamba mashuti zaidi ya 20 na goli moja na save kama zote za Emiliano Spain hawafanyi kitu?Spain wanachokifanya ni nini??