Naukubali sana hispania na mfumo wao wa uchezaji wa 4-3-3 chini ya mbinu zinazosisitiza umiliki mkubwa wa mpira, pasi nyingi fupi (Tiki-Taka), na kushambulia kupitia mawinga yenye kasi.
Pia argentina wamefika finali kwa hu mfumo wao wa uchezaji unao badilika-badilika kutegemeana na mpinzani, huku mifumo ya 4-4-2 na 4-3-3 ikiwa ndiyo msingi mkuu. Wakiwa na morali ya kipekee ya kushirikiana sana na uvumilu wa hali ya juu(mfano kwenye mechi ya uingereza na Egypt). Huenda itakua fainali nzuri sana naya kuvutia kama ile ya(argentina na ufaransa)Qatar 2022.