Recent content by Kinabo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Namba za magari Tanzania

    Sioni tatizo.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Asante sana kwa kunipunguzia stress.
  3. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

    Yameshatokea kama vile maji yakimwagika hayasoleki, hivyo hekima na busara inatakiwa kuleta maelewano baina yako na mama.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa wewe,ungefanyaje?

    Mtu mwenye maadili hii haitokei.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mbatia aibua madudu mitihani darasa la 7!

    Mtendee haki Mh. Mbatia. Elimu ndiyo taifa na taifa ni elimu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Toa jibu sahihi

    Sio kila shida inamalizwa na pesa, vile vile pesa haimalizi shida zote.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hebu Chekeni kidogo: Dinner with a Girlfriend

    More than nice. You made my morning. Thanks
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je, Mh. Rais katususia nchi?

    Kuwa kiongozi wa nchi hasa nchi zinazoendelea sio kazi rahisi hata kidogo.Anayetaka uongozi sharti ajipime kwanza.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa bado kama mbuni... hajajua au hajali tatizo hasa la Utawala wa CCM

    Katika mfumo wa utawala, walioko kwenye mfumo hawezi kuubadilisha, ila aliye nje ya mfumo.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Albino yaanza tena Tanzania: Mmoja auawa Tabora, anyofolewa mkono!

    elimu elimu elimuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Boil brain.

    Kisima inamaana kuna maji,hivyo atakuwa amezama.Swala lakutoka halipo.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Grace Kihwelu: Mbunge wa CHADEMA mwenye Certificate ya Hotel Management

    Mageuzi na mapambano katika taifa huletwa na watu kama Kiwelu. Tusisahau Bibi Titi alivyoshirikiana na Nyerere katika harakati za uhuru. Tuwa-encourage jamani.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Upi ujinga kati ya haya

    Ujinga na kutokuelewa jambo ni vitu viwili tofauti..........mfano hii...Duh! Konda kusubiri gari liondoke ndio akimbilie ni ujinga sawa na kumwamsha mgonjwa usingizini ili umpe dawa ya usingizi. Hapa nikutokuelewa, lakini kwakuwa nia nikucheka, basi tucheke. Salute.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mlevi aleta gumzo bar baada ya kutoa offa...

    Mlevi au sio mlevi, mwungwana analipa anapoagiza.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa rasmi ya kusitisha mgomo kutoka chama cha madaktari 10/03/2012

    Nawapa pole wale wote waliopoteza maisha, na wote wengine walioathirika kwa njia moto au nyingine kutokana na mfarakano huu. POLE SANA.
Back
Top Bottom