Boil brain.

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
12,043
2,000
konokono yupo ndani ya kisima cha mita 30 na anataka kutoka. mchana anapanda mita 3 na usiku akiwa amedozi anateleza kurudi chini mita 2. je atatumia siku ngapi kufika nje ya kisima? come one! come all!
 

Kinabo

Member
Dec 4, 2006
75
95
konokono yupo ndani ya kisima cha mita 30 na anataka kutoka. mchana anapanda mita 3 na usiku akiwa amedozi anateleza kurudi chini mita 2. je atatumia siku ngapi kufika nje ya kisima? come one! come all!
Kisima inamaana kuna maji,hivyo atakuwa amezama.Swala lakutoka halipo.
 

mtozwaushuru

Member
Sep 20, 2010
85
95
nani kakwambia kisima kina maji? mnapewa maswali rahisi mnayacomplicate matokeo yake mnatoa majibu ambayo si ya maswali husika ndo maana mnafeli
 

Loyal_Merchant

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
653
225
Duh...unawaza kama mimi.....hapo anapanda mita moja kila siku...siku ya 30 atakuwa kafika juu kabisa ya kisima ila ili aweze kutoka lazima apate tena siku 1
Umeona ee...? Kwa siku 30 atakuwa bado hajatoka kisimani ila atakuwa amefikia katika ncha ya mwanza wa kisima.
 

Edgar011

Senior Member
Aug 4, 2011
104
225
mmeshindwa kufikiria kabisa. Hatoweza kutoka,atabaki kuishia mita moja tu bila kutoka.
 

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
12,043
2,000
nashukuru sana kwa mlio dare ku boil your brains!. jibu ni kwamba atatumia siku 28. kila siku atapanda mita moja juu akifika siku 27 atakuwa amepanda mita 27 na atakuwa amebakiza mita tatu. siku ya ishirini na nane atapanda mita tatu zilizobaki hadi nje. big up john hotsam da1
 
Last edited by a moderator:
Top Bottom