Je, Mh. Rais katususia nchi?

Je, Mh. Rais katususia nchi?

Mimi nina swali kwa Mh. Raisi, hivi kaamua kutususia Nchi au, maana kuna matatizo lukuki hapa Nchini yanaendelea na yeye yupo kimya, mfano ni Mfumuko wa bei, wanafunzi kufeli kuliko kawaida, vurugu za kidini, bunge kugeuka kijiwe na mengineyo mengi tu, Mh. Raisi ndio kiongozi wa Nchi ameamua kukaa kimya, kwa sasa ni kama Nchi inajiendesha/inajiongoza yenyewe hakuna kiongozi.

​Timu nzima ya ikulu ni bogus!
 
Rais ambae hawezi kufanya maamuzi.Anasubiri hadi upepo upoe na jambo liishe lenyewe!Kweli Rahisi tunae!ameharibu ile taasisi imekuwa kama NGO ambayo hata waliomaliza form 4 juzi wanaweza kuwa Rais!

Laissez a faire gvt.
 
Mimi nina swali kwa Mh. Raisi, hivi kaamua kutususia Nchi au, maana kuna matatizo lukuki hapa Nchini yanaendelea na yeye yupo kimya, mfano ni Mfumuko wa bei, wanafunzi kufeli kuliko kawaida, vurugu za kidini, bunge kugeuka kijiwe na mengineyo mengi tu, Mh. Raisi ndio kiongozi wa Nchi ameamua kukaa kimya, kwa sasa ni kama Nchi inajiendesha/inajiongoza yenyewe hakuna kiongozi.

Mkuu nani aliyekuambia nchi hii ina Rais ?
 
Serikali yake ni sikivu, atakuja kutoa majibu hapa jamvini soon.

Halafu ukitaka kujua JK huwa anatoa facts ni pale anapokohoa tu utaona wote vicha chini hata humu mtandaoni sana sana wanabaki wale ambao wao kupumua ni kawaida yao.
 
Mbona una haraka, si huwa anaongea nasi kila mwisho wa mwezi? Si ni leo? Ataongea nasi, kwani husema kwa majumuisho tu, kama dharura sana, wazee wapo, ataongea nao halafu watatuletea ujumbe, au?......
 
Mimi nina swali kwa Mh. Raisi, hivi kaamua kutususia Nchi au, maana kuna matatizo lukuki hapa Nchini yanaendelea na yeye yupo kimya, mfano ni Mfumuko wa bei, wanafunzi kufeli kuliko kawaida, vurugu za kidini, bunge kugeuka kijiwe na mengineyo mengi tu, Mh. Raisi ndio kiongozi wa Nchi ameamua kukaa kimya, kwa sasa ni kama Nchi inajiendesha/inajiongoza yenyewe hakuna kiongozi.

Hivi kwa nini unapiga jibu mstari?Tena amechanganyikiwa kabisa na hajui afanye nini.Hatuna mkuu wa kaya siku nyingi sana,tupo tuu.Siku hizi kawaziri nako kana nguvu,kamkuu ka wilaya nako ni baunsa.Taabu tupu.
 
Kuwa kiongozi wa nchi hasa nchi zinazoendelea sio kazi rahisi hata kidogo.Anayetaka uongozi sharti ajipime kwanza.
 
Mimi nina swali kwa Mh. Raisi, hivi kaamua kutususia Nchi au, maana kuna matatizo lukuki hapa Nchini yanaendelea na yeye yupo kimya, mfano ni Mfumuko wa bei, wanafunzi kufeli kuliko kawaida, vurugu za kidini, bunge kugeuka kijiwe na mengineyo mengi tu, Mh. Raisi ndio kiongozi wa Nchi ameamua kukaa kimya, kwa sasa ni kama Nchi inajiendesha/inajiongoza yenyewe hakuna kiongozi.
matatizo yenu is non of his business
 
domokaya JK ,Raisi wako anaandaa ratiba na bajeti ya kuaga.Ratiba ya kuaga inaanza na bajeti ya 2013/14 na kumaliza mwaka 2014/15.Ratiba inakuwa hivi,Tanzania mikoa yote,wilaya,vijiji na Kata, East Africa,SADC,AU,USA,EU,OCEANIA,MIDDLE EAST NA DUNIA YOTE hivyo inahitaji Utulivu na bajeti kubwa.Jiandaeni kubeba misalaba ya kulipia safari na perdiem kwenye bajeti kwa misimu miwili kuanzia mwaka huu Pasco hujapewa tenda ya kuandaa documentary ya uongozi na mambo mazuri ya JK 2005-2015?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom