Upi ujinga kati ya haya

Upi ujinga kati ya haya

Ujinga na kutokuelewa jambo ni vitu viwili tofauti..........mfano hii...Duh! Konda kusubiri gari liondoke ndio akimbilie ni ujinga sawa na kumwamsha mgonjwa usingizini ili umpe dawa ya usingizi. Hapa nikutokuelewa, lakini kwakuwa nia nikucheka, basi tucheke. Salute.
 
Kuachia ushuzi wako mwenyewe na kutema mate mwenyewe ujinga!
 
Kukanyaga kinyesi afu unachechemea ni ujinga tosha
 
kukomaaa kwenye mlango mmoja uliofungwa, wakati mingine mingo ipo wazi -ujinga
 
Ujinga ni pale mama aliyejifungua mtoto kumdanganya mwanae kuwa amenunua mtoto dukan kwa wahindi.
 
ujinga ni kuita kila petrol station ni shell... ilhali kuna oilcom, gapco, total, camel na nyingine nying
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom