Mlevi aleta gumzo bar baada ya kutoa offa... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlevi aleta gumzo bar baada ya kutoa offa...

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mafian, May 7, 2012.

 1. m

  mafian Member

  #1
  May 7, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa kaingia Bar;
  Jamaa: Muhudumu, nipe kinywaji na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji. Haraka sana muhudumu akagawa vinywaji,
  Jamaa: Muhudumu nipe supu na kila mtu humu ndani mpe supu maana ninapokunywa supu kila mtu lazima anywe supu. Watu wakapewa supu tena safari hii wakapiga makofi.
  Jamaa: Muhudumu nipe bili, na kila mtu humu ndani mpe bili maana wakati nalipa bili yangu kila mtu lazima alipe yake. Zogo lilianzia hapo.
   
 2. t

  tracy wa NJIRO Member

  #2
  May 7, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  haaaaaa teheeee haichekeshi
   
 3. sirdelta

  sirdelta JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 286
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Aaaaaaaaaaaa mbavu sina mie ......
   
 4. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #4
  May 8, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,259
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 280
  Aaaaahhhh aaaaahhh palikuwa hapatoshi hapo aaaaahhhhhh
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  May 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  mbona me nimecheka hadi machozi yamenitoka.
   
 6. suri

  suri JF-Expert Member

  #6
  May 8, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 320
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kudadadeki ndo wangeelewa maana ya emergency door,cjui wangenionea wapi
   
 7. Wa Nyumbani

  Wa Nyumbani JF-Expert Member

  #7
  May 8, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 432
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mara akatokea bonge na kumfuata jamaa akaanza kumpiga makonde.
  Jamaa: Bonge huwezi kunipiga peke yangu wakati wengine humu ndani wananiangalia, mpige kila mmoja aliyeko humu ndani. Watu wakaanza kupigwa!!!
   
 8. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #8
  May 8, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,207
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  hii kali bwana
   
 9. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #9
  May 8, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  una gubu wewe
   
 10. E

  EVODIUS RWECHUNGURA Member

  #10
  May 8, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli nimecheka hiyo mpya
   
 11. E

  EVODIUS RWECHUNGURA Member

  #11
  May 8, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Japo muhudumu zilikua zimefyatuka asiweze muelewa nia yake yeye ninani alijichanganya mala kinyaji mala supu naye yupo tu nzuri iyo ila inabidi uwe baunser
   
 12. T

  Twigwe Member

  #12
  May 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tehetehe!!! imetulia, lakini kweli kila mmoja alipe alichokula na kunywa!!!!!!!!!!!!!!!!1111
   
 13. u

  uchuchu Member

  #13
  May 11, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kichekoo!!! Wa nyumbani umevunja mbav zangu zaid
   
 14. IamError_D

  IamError_D JF-Expert Member

  #14
  May 11, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 424
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  chonde chonde ulevi noumaaaa kumbe mlevi ana akili usipimeeee.
   
 15. K

  Kinabo Member

  #15
  May 11, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 75
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mlevi au sio mlevi, mwungwana analipa anapoagiza.
   
 16. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #16
  May 11, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! hiii baraaaa! UTAJILAMBA!
   
 17. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #17
  May 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hakuna dezoo lazima walipe bili hiyo heheee
   
 18. Kaitampunu

  Kaitampunu JF-Expert Member

  #18
  May 11, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Hapo kwenye blue mbona umecheka? Au unacheka kichina? Au wewe ni mlokole?
   
 19. J

  JOE58 Member

  #19
  May 11, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mlevi kalewa chakali, hata tundu la ufunguo katika mlango haoni anaangaika kuingiza ufunguo afungue mlango.Trafiki kasimama pembeni anamwangalia mlevi huyu! hatimaye anamfuata na kumshika bega, anamwambia "hebu suburi kidogo bwana,unataka kuniambia una mpango wa kuendesha gari katika hali hii?" Jamaa akageuka, akamwangalia askari yule juu mpka chini, kisha akamwambia " Huna akili nini wewe yaani wewe unadhani naweza kutembea katika hali hii?
   
 20. J

  JOE58 Member

  #20
  May 11, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walevi wana mambo bwana! Wengine wawili walikuwa wanakunywa mmoja akatoa kioo kidogo akajiangalia, akamwambia mwenzie "hii sura sura kwenye kioo sio ngeni lakini nimesahau nilipoiona" Mwenzake akampokonya kile kioo, akajiangalia akamwambia " wee umelewa nini, huyu si mimi!!"
   
Loading...