Namba za magari Tanzania

Watalaam wa hesabu (permutation and combination) watukokotolee namba ngapi za magari zipo kati ya T101AAA hadi T9999ZZZ bila kutumia herufi O na I kwa mtindo wanaotumia TRA..
ngoja nikachukue daftari langu la BAM, nikumbushie concept
 
Jamani nimeona tukumbushane kidogo kuhusu hizi namba za magari Tanzania. Maana kuna vifupisho vyake vingine vinabeba maana halisi ya maneno yanayotumika ktk maisha yetu ya kila siku.

Kama na wewe unakumbuka namba kadhaa, please ogezea kwenye list ...
Majina ya kampuni/Mashirika
T 203 WFP
T 119 ILO
T 223 PPF
T 109 BMT
T 100 TFF
Majina ya Watu
T 666 ALI
T 102 ANA
Majina yanayokera
T 112 AFE
T 999 UFE
Majina ya Taaluma
T 111 MIS
T 109 ICT
Majina mengine
T 703 BOY
T 150 BIA
T 105 ASS
T 445 MBO
T 115 TIA

Ongeza na ya kwako hapo chini
Sioni tatizo.
 
Hiyo shughuli ni pevu sana! Lakini plate number zinaanzia T 001 AAA
Hapana,Zero haianzi mwanzoni kwa namba za "T" kuna mtaalam kalisema humu nadhani yupo TRA.Wanatumia formular ya Txyzabc where x,y,z are positive intergers na kwamba X iz not equal to zero na hizo a,b,c ni alphabets ambazo hazihushishi O na I.Kind of Mathematics!
 
ngoja nikachukue daftari langu la BAM, nikumbushie concept
Mkuu we bam bam mnafahamika ni linear programing na sequence and series ndo uwanja wenu wa nyumbani ila huko kwa pamutation mhh japo si ngumu lakin hapo aise mkuu ukiweza we ulienda kusoma bam bahat mbaya
 
Jamani nimeona tukumbushane kidogo kuhusu hizi namba za magari Tanzania. Maana kuna vifupisho vyake vingine vinabeba maana halisi ya maneno yanayotumika ktk maisha yetu ya kila siku.

Kama na wewe unakumbuka namba kadhaa, please ogezea kwenye list ...
Majina ya kampuni/Mashirika
T 203 WFP
T 119 ILO
T 223 PPF
T 109 BMT
T 100 TFF
Majina ya Watu
T 666 ALI
T 102 ANA
Majina yanayokera
T 112 AFE
T 999 UFE
Majina ya Taaluma
T 111 MIS
T 109 ICT
Majina mengine
T 703 BOY
T 150 BIA
T 105 ASS
T 445 MBO
T 115 TIA

Ongeza na ya kwako hapo chini
Naanza
SAA
CCM
KUM
MAV
TAK
PUM
GAY
SHE
HIM
VUZ

Nikuongeze?
 
T666ALI
 
Watalaam wa hesabu (permutation and combination) watukokotolee namba ngapi za magari zipo kati ya T101AAA hadi T9999ZZZ bila kutumia herufi O na I kwa mtindo wanaotumia TRA..
Ni T101 AAA hadi T999 ZZZ na siyo 9999!
 
Hiyo shughuli ni pevu sana! Lakini plate number zinaanzia T 001 AAA
Hapana,ni 101! Zamani zile za mikoani kama MB,MG,MB ndo zilianza 001 na zile za Tanzania mfumo wa TZA,TZB nafikiri ilikua ni 001.hadi 10000
 
5eef0ceb0686d1a116e53498e22441a0.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom