Kutoka Mirembe
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 294
- 89
Wewe ni mwanaume,
Umevaa taulo.
Ndani hujavaa chochote.
Unamrusha mtoto mchanga juu,halafu ghafla taulo linaanguka,
mbele kuna mama mkwe.
Utadaka taulo,au mtoto?
Umevaa taulo.
Ndani hujavaa chochote.
Unamrusha mtoto mchanga juu,halafu ghafla taulo linaanguka,
mbele kuna mama mkwe.
Utadaka taulo,au mtoto?