Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

Kwa umri wa huyo Bi mkubwa inawezekana kuzaa..

Akiwa mjamzito wa mumeo na akajifungua mtoto..

Nawe uwe mjamzito ujigungue mtoto..

Hao watoto watajitambulishaje wakikuaa?
Ukijibu nakushauri na huo ushauri ninaamini lazima utakuwa na faida kwako..
 
Woooh, pole sana dada ila ningekushauli usilitilie sana maanani, najua ni ngumu ila jitahidi. Mshauli mmeo muhame hapo nyumbani mara moja ila jitahid uwe na kampani usiwe unajitenga na marafiki zako koz unaweza kuwa unayawazia sana hayo mambo yakakutoa nje ya maisha yako ya kawaida.
 
39-25=14. Mamako alikuzaa akiwa na miaka 14. Ulitakiwa ulijue mapema lingetokea coz mamako anaonekana ni mgawaji mzuri tu
Mkuu nafikiri hiyo sentence ya mwisho hujatumia lugha yenye staha, vyovyote vile iwavyo huyu bado ni mama yake mzazi, iko hivyo na itabaki hivyo milele, wakati mwingine tusitumie lugha za kuudhi au kudhalilisha wengine.
 
Woooh, pole sana dada ila ningekushauli usilitilie sana maanani, najua ni ngumu ila jitahidi. Mshauli mmeo muhame hapo nyumbani mara moja ila jitahid uwe na kampani usiwe unajitenga na marafiki zako koz unaweza kuwa unayawazia sana hayo mambo yakakutoa nje ya maisha yako ya kawaida.

Asante
 
mnapishana umri na mama mzazi kwa miaka 14.. ndo mapema mlivyopishana na mama.
Yameshatokea kama vile maji yakimwagika hayasoleki, hivyo hekima na busara inatakiwa kuleta maelewano baina yako na mama.
 
Its too early to judge direct this man,maybe there is something wrong,you know nowdays there is luck of spirity and humanity,
 
Mama ana 39 wewe una 25 umezaliwa wakati mama ana 14 yrs? au nimekosea? ivi unalala kweli usingizi kwenye jambo kama hili hapo ni watu wawili muhimu katika maisha yako mume na mama wote wamekusaliti,mwenyezi mungu azidi kukupa ushujaa wakuhumili hili na jengine,lakini mimi ningezimia...
 
Cha kufanya tembea na rafiki wa mmeo tena yule anaependana nae sana huo unyama mm siuvumilii
 
Na ndio maana Magufuli anatumbua majibu. Wazazi inabidi wajue sheria ya nchi yao na wafuate.
SYSTEM YA ELIMU YA Tanzania, mtoto wa miaka 13-14 ndio anamaliza shule ya msingi, hiyo ni halali kabisa.

Na mtoto wa miaka 17-18 anamaliza form 4, hiyo ni halali.

Ukiona mtoto wa miaka 15/5 anamaliza form 4, nchini Tanzania, hapo jipu lazma litumbuliwe. Sheria hazikufuata.
Usilazimishe utaratibu wako kwenye maisha ya watu,pia kuna kuruka madarasa,pacha wangu wa kwanza wapo na miaka kumi sasa wapo darasa la sita,mwili mkubwa umri mdogo imebidi tuwavushe na wanaendelea vizuri tu,sion haja ya kumchachamalia mtoto wawatu kama huna mchango nyamaza tu,
 
hzo ni changamoto katka ndoa... kwanza ungesema WW ni dini gani tukakushauri kulingana na imani yako....ila km ni Muslim hapo hakuna ndoa kisheria tafta mume mwingine...huo uthibitisho uwe nao hasa tena uwape na mashuhuda waadilifu....
 
Dada kama hauna mtoto achana na huyo mtu. Hiyo no laana kbsa haiwezekan hawachanganye wote. Kwa mfano na mama yako akizaa na mumeo utamwitaje? Mapenzi ya dhat hayako hivyo huyo mwanaume ni wakala wa sodoma na gomora. Kimbia haraka sana. Hata ukimuomba Mungu kiasi gani hawez kukusikiliza ikiwa bado upo kweny hii ndoa. Amekuzalilisha sana Zaid ya sana. Pole sana. Wanaume wengine wanaroho mbaya kama jini makata
 
Back
Top Bottom