Recent content by kim soro

  1. kim soro

    Huwa Sipati Jibu

    Bado tupo ila kisela!!
  2. kim soro

    Huwa Sipati Jibu

    Dah mkuu mi mwenywe ivo ivo ila tatizo mi ni dini mama angu ni mkristo alaf demu swala tano ila mtoto ananipenda hatar mchiz sina kitu ila yeye ndo aoni asikii
  3. kim soro

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Nimekuelewa mkuu dah bahat mbaya ipo na ishatokea ila kwangu mm bora karius mara 10 kuliko mig kipa gan yani mpira ukipita mabeki tu ujue goli[emoji1] [emoji1]
  4. kim soro

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hahaha nan mignolet afungwi naomba ukaangalie game ya liva na asernal game ya pili ndo utajua kwann yupo bench
  5. kim soro

    Nijuzeni: Costantine Kimanda alikuwa ni mchezaji wa aina gani?

    Yupo mtaani kwetu anaendesha boda boda
  6. kim soro

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    We jamaa inaonekana liva inakuumiza sana moyo sisi wenye timu yetu matatzo yetu tunayajua au umeona kuna mtu analaumu beki zetu..embu tuache kdgo tupumue!!
  7. kim soro

    Ukweli kuhusu maisha ya India

    Naskia wanawake ni wachache sana kwao cjui kwel
  8. kim soro

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Sawa mkuu ingekuw rahisi ivo mi nazani wakututoa alikuwa city kwa upande wangu ndo nilie kuwa namuogopa sana kwa ushambuliaji wake
  9. kim soro

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Haha dah wachawi awaiishi yani tupate bao 5 tukose goli la ugeninini labda sio liva hii[emoji119][emoji119]
  10. kim soro

    Hii inawahusu wanaume wote wenye haiba za kike kike

    Ndio[emoji124] [emoji124]
  11. kim soro

    Madomo zege tukutane hapa..

    Haha madomo zege wengi wanakuwaga ma HB kwaiy wanaishia kupendwa ila kumaliza kazi ndo mtiti
  12. kim soro

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Man u bado roho inawauma tu[emoji13] [emoji13] tatzo sio makosa yetu ila nia salah na rob wanataka sifa!!
  13. kim soro

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Asante na ww hongera kwa ubingwa unaogombania
  14. kim soro

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Liver na bayerngg,napoli,man u, benfica,barca all win, madrid na city 3+
  15. kim soro

    Ni goli gani halitoki kwenye kumbukumbu zako??

    Alafu yote ya man u[emoji87]
Back
Top Bottom