Huwa Sipati Jibu

Huwa Sipati Jibu

Dah mkuu mi mwenywe ivo ivo ila tatizo mi ni dini mama angu ni mkristo alaf demu swala tano ila mtoto ananipenda hatar mchiz sina kitu ila yeye ndo aoni asikii
Msha achana kabisa
Au bado mna endelea
 
Hahaa mimi hadi baadhi ya marafiki zangu mama alikuwa akiwaona tu anasema huyu sio mtu mzuri na alikuwa sahihi, rafiki baadae wanageuka mkia wa fisi
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Some timea huwa wanakuwa sahihi
 
Back
Top Bottom