Huwa Sipati Jibu

Huwa Sipati Jibu

Mi ndomana mama angu akisemaga kila kitu anajua huwa namjibu#mbona computer hujui kutumia simu yenyewe nakufundisha mi kutumia huku nakufokea afu unajidai unajua kila kitu#ni kweli sisi wanadam huwa tunaona wazazi hawakosei lakini tukumbuke wale ni binadam tu wanakosea!shida inakuja tu pale asipokupa baraka zake katika jambo flani sbb ya ukin'ga'ganizi wako basi hapo litakuharibikia mbeleni ili tu aje akwambie si nilikuonya!I WARNED U
 
Pole sana, wanawake huwa hawatakiani mafanikio ndugu, japo ni mama yako mzazi ila kumbuka ni mwanamke, na mama huwa wanakuwa na wivu fulani na wanawe wa kiume, ndo maana visa vya mke na mama wa mumewe huwa vipo familia nyingi, jaribu kumtafuta kama utampata
 
Nakumbuka kaka angu alipataga msichana mmoja hivi walikua wanasoma wote A level..yule dada jamani alikua mpole mwenye huruma weekend anakuja home atafanya usafi chumba cha kaka atafua nguo tena alikua anaomba hadi za Mama..usiombe ifike birthday ya bro Dada alikua anajitoa acha..kaka akiumwa sasa anavyohangaika yule dada mhh..

Kimbembe kikawa kwa Mama alikua hampendi yule msichana uwiii..na yule msichana alikua anajua hapendwi na Mama lakini hakujali ilo

Mwisho wa siku ilibidi tu waachane.. mawifi zangu wa sasa ni wa ovyoovyo tu
 
ndio inavokuwaga sku zote
Mkataa pema pabaya panamuita

Kwa hiyo mama huwa hamkumbuki kiaina na yeye?
 
Mi ndomana mama angu akisemaga kila kitu anajua huwa namjibu#mbona computer hujui kutumia simu yenyewe nakufundisha mi kutumia huku nakufokea afu unajidai unajua kila kitu#ni kweli sisi wanadam huwa tunaona wazazi hawakosei lakini tukumbuke wale ni binadam tu wanakosea!shida inakuja tu pale asipokupa baraka zake katika jambo flani sbb ya ukin'ga'ganizi wako basi hapo litakuharibikia mbeleni ili tu aje akwambie si nilikuonya!I WARNED U
Hahahaa
Lakini kwa tamaduni za kiafrika mzaxi akiongea ndio amri tena
 
Hamkumbukagi hata kidogo na vilevile kabila la yule dada Mama hakubaliani nalo..iyo pia ilikua sababu ya kumchukia
Ujue wazazi wetu wana pre judgements zao hizo. hivi ukute mama alijua ana msaidia bro hapo na ana amani kabsaa .
 
Dah mkuu mi mwenywe ivo ivo ila tatizo mi ni dini mama angu ni mkristo alaf demu swala tano ila mtoto ananipenda hatar mchiz sina kitu ila yeye ndo aoni asikii
 
Hahaa mimi hadi baadhi ya marafiki zangu mama alikuwa akiwaona tu anasema huyu sio mtu mzuri na alikuwa sahihi, rafiki baadae wanageuka mkia wa fisi
 
Back
Top Bottom