Recent content by kilundilo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwa matatizo ya gari

    Mkuu kusaidiwa tofauti kati ya injini ya 1ZZ na 2ZZ
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Injini yenye Mfumo wa VVTL-i na VVT-i

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza na msaada wa kujua tofauti ya mifumo hiyo kwenye injini za magari,, Karibu kwa maada ili tuelimishane
  3. K

    JamiiForums Tanzania 1jz GTE ni injini yenye nguvu sana

    Wakuu pia naomba kufahamu sifa ya injini hizi VVTL-i na VVT-i
  4. K

    JamiiForums Tanzania Corolla Runx inauzwa

    Gari aina ya Corolla Runx inauzwa,, imesajiliwa kwa namba DLD,,, bei ni 11M Specificationa zake ni kama ifuatavyo,; Version / Class ---Z AERO TOURER Engine Code-----2ZZ Engine Size----------1,790cc Manufacture Year ------2002 / 5 Color---------Silver Transmission----------Automatic...
  5. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kwa walio na ufahamu na ujuzi na Be toward.

    Wakuu nataka kununua gari,,, nimeenda kwa be forward ili niagize hiyo gari,,, nikapewa profoma invoice ili nikalipie,, nikaambiwa Nina option mbili,, kulipia mojakwamoja be forward Japan,, au be forward Tanzania,,, naombeni msaada kwa walio na ujuzi na hii kampuni,,, IPI ni njia sahihi...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba zinapangishwa jijini mbeya, mtwara na dar es salaam.

    Dsm,, zipo maeneo gani na ghalama yake ni kiasi gan!!!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya kupanga

    Natafuta nyumba ya kupanga iwe na Viyumba viwili yani chumba sebule,, choo cha kujitegemea,, na iwe ndani ya uzio,,, maeneo ya (Temboni, Suka, kimara, kologwe, bucha,) Dar es salaam,,
  8. K

    JamiiForums Tanzania CRDB wameanza kuita interview

    Umeitwa lini?
  9. K

    JamiiForums Tanzania Serious: Natafuta mwanamke aliyenizidi umri

    Sawa sawa,,
  10. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majina ya wajumbe wa Kamati Kuu watakaoteua majina 5 Urais wa Tanzania!

    Umeona eeh, nywele nyeupe hapo haipiti
  11. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Mafinga km 2 kutoka main road

    Kijijini kwetu, shamba ekari moja tu huwezi pata kwa 6M,,, sasa we washangaa 40M mafinga,, enzi hzo nn ww!!!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani utashinda kiti cha urais katika uchaguzi wa mwaka huu 2015

    lakini kwa mwaka huu!! wafanye wafanyavyo hao sisiem, walai hawana chao
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mchepuo wa HGK unaweza kuja kusomea nini?

    Jiandae kushika chaki
Back
Top Bottom