Nyumba inauzwa Mafinga km 2 kutoka main road

Barca

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,405
1,552
Nina kiwanja chenye ukubwa wa nusu eka kina nyumba mbili ndani yake zenye jumla ya vyumba 6 vya kulala. Kiwanja kina offer kabisa hakina mgogoro na kinalipiwa kila mwaka. Sababu ya kuuza mwenye nyumba anahamia Morogoro na pia ana matatizo ya kiafya hivyo atahitaji fedha kwa ajili ya matibabu. Bei yake ni milion 40. Mwenye interest ani pm nitamtumia picha WhatsApp. Nyote mnakaribishwa.
 
Attachments

  • IMG_20150613_133358.jpg
    IMG_20150613_133358.jpg
    356.7 KB · Views: 342
Nyumba zote mbili zipo ndani ya kiwanja karibuni
 
Nina kiwanja chenye ukubwa wa nusu eka kina nyumba mbili ndani yake zenye jumla ya vyumba 6 vya kulala. Kiwanja kina offer kabisa hakina mgogoro na kinalipiwa kila mwaka. Sababu ya kuuza mwenye nyumba anahamia morogoro na pia anamatatizo ya kiafya hivyo atahitaji fedha kwaajili ya matibabu. Bei yake ni million 40. Mwenye interest ani pm nitamtumia picha WhatsApp. Nyote mnakaribishwa.
m40 nyumba hizo na sehemu yenyewe mafinga! Labda narudia labda m10 na huyu wa m10 ukimpata utakuwa umempiga!
 
m40 nyumba hizo na sehemu yenyewe mafinga! Labda narudia labda m10 na huyu wa m10 ukimpata utakuwa umempiga!
Unaweza kuwa umesema ukweli lakini maneno yako yakawa makali sana.

Usisahau anayeuza anaumwa, anahitaji matibabu.
 
m40 duuuuh, kuna mtu alikuwa anauza nyumba na kiwanja nyumba nzuri yenye sebule, vyumba 4 fence ya tofali kwa nje kauza m9 kinyanambo...
tatzo madali mnataka kuamka matajuri over nite
 
Ardhi ya Mafinga sasa hivi imekuwa deal na bei zinapanda kila leo, mji unakua huo kuelekea magharibi kwa sababu upande wa mashariki kuna ardhi inayomilikiwa na mashirika ya dini, waromani, walutheri na eneo la jeshi na eneo la misitu ya saohill, maeneo hayo ni makubwa sana na kuwanyima wananchi nafasi ya kuendeleza ardhi kwa kilimo, au makazi. Na kubakiza sehemu ndogo sana kwa wananchi kujipatia eneo la kujenga, mji unasogea Ndolezi.
 
Nina kiwanja chenye ukubwa wa nusu eka kina nyumba mbili ndani yake zenye jumla ya vyumba 6 vya kulala. Kiwanja kina offer kabisa hakina mgogoro na kinalipiwa kila mwaka. Sababu ya kuuza mwenye nyumba anahamia Morogoro na pia ana matatizo ya kiafya hivyo atahitaji fedha kwa ajili ya matibabu. Bei yake ni milion 40. Mwenye interest ani pm nitamtumia picha WhatsApp. Nyote mnakaribishwa.

Me nina Nyumba ya Kuvunja iringa mjini eneo la Gangilonga yaani kama nauza kiwanja vile kwa kuwa nyumba inaitaji matengenezo mengi sasa ni bora kuvunja tu , kuna hati na kimelipiwa gharama zote bei ni mil 200 madalali mnakaribishwa
 
mama kibunju kama uko serious n pm nambako, gangilonga sehemu gani?
 
m40 nyumba hizo na sehemu yenyewe mafinga! Labda narudia labda m10 na huyu wa m10 ukimpata utakuwa umempiga!

Akili huna...! Umewahi kumiliki 10m wewe? Ukisikia kwa watu utaziona nyingi sana but 10m is nothing with this inflation
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom