1jz GTE ni injini yenye nguvu sana

Mi napenda mlio wa gari zenye hizo engine tu. 6 cylinder za Toyota zinavuta utamu sana hasa Mark x, Verossa na Mark ii...They sound manly!!!
Sasa inji ya 1jz na 2jz ni balaa ukiisikiliza utafurahi mwenyewe
 
Sasa inji ya 1jz na 2jz ni balaa ukiisikiliza utafurahi mwenyewe
Hakika naweza shinda youtube naskiliza hio milio ya engine za Toyota 6 cylinder inanipa raha sana. Hata ile ya 1HD-T, 1HD-FT na 1HD-FTE i wish wajapani wangerudisha hizi engine kwenye ma VX V8 yale au wazitune Engine zake zilie kama 1HD.
 
Bado mziki wa 3UR na na 1VD-FTE na FTV
 
Mtasema yoote kiboko yao ni 1HZ hii mashine ipo ktk LandCuiser hardtop
Ni engine ambayo ngumu saana ina pulling ya uhakika
Bei yake tu mil12 tena used hapo imetumika
Mpya haishkiki
Sifa za cruiser zimekuja kutokana na engine ya 1HZ
 
Hiyo unafunga kwenye double coaster na inasukuma poa sana

Sio kufunga
Hua inakuja nazo mkuu wa japan wajanja saana walioona uimara wa 1HZ wakatoa hizo double costa zikiwa na injin ya 1HZ
sasa ullizia bei ya hizo costani noowmaaa
 
Sio coaster zote zinazokuja na hiyo injini, sasa ukute coaster imefungwa injini hiyo halafu ina turbo, mbona mabasi ya Yutong hayakamati hapo

Zipo costa zinazokuja na injin zenye turbo 2HT
Hizo injin ni za Landcruiser VX
Mkuu barabarani hio ni noowmaa
 
hahaaaa acha kujidanganya mkuu, hiyo 1hzj hata kwenye scania moja moja tatu haisimami.
Hapo napinga mkuu, kipindi kile hakuna tochi za barabarani ile ruti ya Dar - Moro zilizokuwa zikiongoza hizo ruti ni double coaster sio hayo mascania unayosema wewe
 
Back
Top Bottom