King'amuz bora cha channel za movie za ngumi na tv series.

The master

JF-Expert Member
Feb 13, 2014
289
195
Habari zenu wana jf.
Tafadhali mwenye kujua anijuze ni king'amuz gani kina channel za movie hasa za ngumi na channel series mbalimbali. Mimi ni mpenz wa series na nataka kununua king'amuz. Msaada tafadhali.
 
Back
Top Bottom