Recent content by killingmachine

  1. killingmachine

    JamiiForums Tanzania Wakulungwa Pokeeni Taarifa Kutoka Kwa Mkemia Mkuu Wa Serikali

    hao si ndio walitegwa na mwendazake akawapelekea mapapai mihogo wakasema ina covid,ila dah yan mkemia anatuambua 50per cent wanachepuka
  2. killingmachine

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei waongezeka kutokana na Bei ya Nyama, Gesi, Ngano na Maziwa ya unga

    Ngano kilo 25 imegonga 37000, m/kupikia usiulize inacheza kwenye 90000 lakini tutafika tu
  3. killingmachine

    JamiiForums Tanzania Ukimshitaki Mzigua mkapelekana hadi Mahakamani, uwezekano wa Kushinda kesi ni zero percent

    sasa wewe hapa kwetu kwa msisi utushushie bungalow la maana ili utujambishe utuchukulie mademu zetu tunakupiga na zongo dakika tu
  4. killingmachine

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa sana kwa Harmonize

    mleta mada povu kama lote khaaa?
  5. killingmachine

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya huu msemo "Hii nchi ngumu hii"?

    Mtoa mada inaonyesha wewe upo kwenye system,njoo mtaani mkuu utajua tu
  6. killingmachine

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa weka hadharani salary slip yako kabla ya kuitikia wito wa kwenda kwenye kamati

    mkuu unataka ulione jina lako
  7. killingmachine

    JamiiForums Tanzania Nilivyojisikia baada ya kuchanjwa chanjo ya COVID-19

    Sio bure umetumwa na mabeberu
  8. killingmachine

    JamiiForums Tanzania Je Tanzania bado iko uchumi wa kati wa chini au imeshapanda zaidi kiuchumi?

    donor country mzee
  9. killingmachine

    JamiiForums Tanzania TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

    controla mkuu pole sana Mungu akupe ujasiri
  10. killingmachine

    JamiiForums Tanzania Uaminifu ni chanzo cha mafanikio

    ukiwa mwaminifu bongo hutoboi
  11. killingmachine

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kutumia mchango wa harusi kujenga nyumba

    Mkuu huo ni utapeli usiwe na mawazo hayo, wadau wako watamaind
  12. killingmachine

    JamiiForums Tanzania Banquet au karamu: Chakula maalum kinachoandaliwa kwa heshima ya mgeni

    mkuu fanya edit 1904 is not true
  13. killingmachine

    JamiiForums Tanzania Dar: Mauaji Lemax Bar Sinza kwa Remmy. Kabla ya kujiua, Alex Korosso alimpiga risasi Gift Mushi

    mkuu unaanzaje kuacha pombe? kata maji kama mamba,hao Mungu aliwapangia wafe ki-style hiyo
  14. killingmachine

    JamiiForums Tanzania Jana mara yangu ya kwanza kwenda kazini na hirizi

    mkuu muda si mrefu utaenda kazini na ungo
  15. killingmachine

    JamiiForums Tanzania Nimpe kiasi gani kama shukrani?

    kula naye mwana huyo,mzungu huyo mswahili angetaka kamisheni yake kabla hajakuunganisha na hiyo deal
Back
Top Bottom