Nini maana ya huu msemo "Hii nchi ngumu hii"?

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
721
1,000
Inakuwaje wanaJF

Baada ya kuuona huu msemo mara kwa mara "HII NCHI NGUMU HII" nimeona nije kuuliza una maana gani wenda na mimi nitauelewa hatimae na mimi nitaanza kuutumia

Je nin maana ya huu msemo "HII NCHI NGUMU HII"
3d%20small%20people%20-%20sits%20on%20the%20question%20pr.jpg
 
Uzalendo Installer

JF-Expert Member
Nov 8, 2014
3,616
2,000
Mwanafunzi hana mshahara lkn analipa nauli ya daladala..polisi mwenye mshahara halipi...
Sukari inatoka moro mpk dar kwa 2800, sukari hyo hyo inavuka boda kutoka zambia au uganda kwa bei hyo hyo...
Ushuru wa kuagiza gari ni sawa/ zaidi ya gari yenyewe...
NCHI NGUMU SANA HII..
pia kuna msemo mwingine..BONGO SIHAMI
 
Nyambi Sr

JF-Expert Member
Apr 17, 2021
830
1,000
Nimefungua biashara lkn kila siku inakula rungu za serikali
Kodi
Ushuru wa kjj
Kodi ya jengo
Kodi ya umeme
Wakala was mizan
Ushuru was mlinzi
Tozo za miamala
Na wanafosi nitumie EFD mashine wanikate double too..

Hi nchi ngumu Sana aisee
 
Mkuu mbona huu msemo "hii nchi ngumu hii" naona kama unakinzana na huo msemo "bongo sihami"?
 
Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
721
1,000
Nimefungua biashara lkn kila siku inakula rungu za serikali
Kodi
Ushuru wa kjj
Kodi ya jengo
Kodi ya umeme
Wakala was mizan
Ushuru was mlinzi
Tozo za miamala
Na wanafosi nitumie EFD mashine wanikate double too..

Hi nchi ngumu Sana aisee
Dah! So sad
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom