Recent content by kilemi

  1. kilemi

    JamiiForums Tanzania Mongolia is a strange and different country in the world

    Ndiyo nchi iliyoisambaratisha Kievan-Rus. Na kusababisha mataifa matatu Rusia, Bello-Russia and Ukraine!
  2. kilemi

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mabeberu ndivyo walivyo, hutangaza threats ili wapate uhalali wa kuvamia na kuiba. Nachokiona Ukraine itakuwa kama Iraq ya Saddam Hussein. Watataka wamtawale, akiweka kichwa ngumu watampindua na kumwua.
  3. kilemi

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwa hiyo ameua wanajeshi wasio vitani?
  4. kilemi

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka Luteni Urio anaenda kuharibu ushahidi dhidi ya Mbowe na wenzake 3. Fact hizi hapa

    Wlishajiajiri tayari. X-Mwalimu wako kawaharibia maisha.
  5. kilemi

    JamiiForums Tanzania Uwezo Duni TBS Unaligharimu Taifa

    Waluoua general tyre Mungu anawaona
  6. kilemi

    JamiiForums Tanzania Familia ya Gwajima imemkosea Waziri wa Afya, kiungwana wamtafute wamuombe radhi

    Tamko la serikali, "Chanjo nihiyari, serikali haitawajibika kwa madhara yatakayotokea baada ya chanjo"
  7. kilemi

    JamiiForums Tanzania Sifa za mtu anayefaa kuwa kiongozi

    1. Ndungai 2. Kabudi 3. Dr Gwajima 4.... 5....
  8. kilemi

    JamiiForums Tanzania Fatma Karume aondolewa kwenye orodha ya mawakili (Permanent removal), akutwa na hatia ya kukiuka maadili

    1. Judge mkuu sio judge of the high court, alikuwa mhadhiri wa sheria UDSM 2. Attorney General hana qualification, alikuwa lecture UDSM 3. Member of the Tanganyika Law Society hajulikani ni nani! Sent using Jamii Forums mobile app
  9. kilemi

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Serikali za Mitaa: Ni huzuni, aibu, fedheha na si afya kwa Chama cha Mapinduzi(CCM)

    Unamaanisha kinachotafutwa ni makosa ya kujaza form, na sio sera wala malengo ya mgombea? Vipi taasisi nyingine kama bank, NIDA, vyuo vya elimu nk. wakifuata mfumo mnaoutumia ninyi kuchuja waombaji?
  10. kilemi

    JamiiForums Tanzania Sasa mtaamini waafrika si Binadamu kamili. Burning and Looting

    Nigerian nao wamejibu
  11. kilemi

    JamiiForums Tanzania Maajabu; Hakimu mfawidhi amnyima dhamana kada wa CHADEMA na alipopata dhamana ya mahakama kuu, hakimu aagizwa akamatwe mpaka apate nakala

    Huyo hakimu kajuaje ameachiwa? Alienda kufanya ukaguzi magereza?
Back
Top Bottom