Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,481
- 1,579
Kachambwa na kachambika!Jamani tuache utani Ndugai kachambwa khaa!!😅😅😅😅

Hii conflict Kati ya executive na Bunge itufungue macho kwa hitaji la katiba mpya. Speaker kuzodolewa namna ile ni kuonesha ya kwamba Bunge letu halina nguvu. Katiba mpya inahitajika kuweka checks and balances. Tatizo ukisema katiba mpya watu wanafikiria CHADEMA basi, lakini madhara Kama haya hawayaoni.
Ukiwa hao wasiozidi million 3 ni TUME ya Uchaguzi, JWTZ, Polisi, Mahakama. TISS sidhani kama kuna shidaTukilipa LUKU tunakatwa hela ya kusambaza umeme.
Hiyo hela inaenda wapi?
Mama anakosea sana kuachana na kundi la wanyonge ambao ndiyo wengi na kuanza kukumbatia kundi la walichonacho ambao hawazidi hata millioni 3 nchi nzima
Eti wewe ndiye Chifu Hangaya? Nahisi kama ni wewe!Wewe njaa kali una stress kwa kuondokewa na nduguyo. Huna jipya.
huo ndio mhimili uliojichimbia zaidi!Kwanini Rais amshambulie mkuu mwenzake wa mhimili directly kiasi cha leo jamani?
Huu ni udictator wa wazi wazi.
Mwenyekiti wa CCM ni boss wa SpikaUnakosea sana unaposema Rais ni boss wa Spika! Unbelievable!
Magufuli gang tumetumia huu mzozo wa huyu zuzu ndugai kumponda zuzu na mama katuita ikulu akidhani ni team wahuni,mama katutolea meno hadi jino la 32 akidhani ni team wahuni sasa tuta ua wahuni wawili kwa jiwe mojaMama inawezekana hana taarifa za kina kuwa hana support ya kutosha ndani ya CCM na atakuja kushtuka kina Ndugai wako wengi tu wakiwemo wanaojidai kumuunga mkono leo hii kumbe wanamlia timing tu.
Kuna wataomuunga mkono kutafuta uteuzi tu na sio kwamba wako loyal kwake.
Wanabodi,
Hili ni bandiko la ma GT, hivyo hatutataji majina na naomba usitaje jina lolote!.
Hatua ya kwanza ni sikiliza kauli hii
Hivi hata baada ya kauli kama hii, kama wewe ni mtu mzima na akili zako timamu, bado unasubiri nini to do the right thing, the needful?.
Swali ni jee tumshauri mtu wetu, a do the needful, au akomae nao, till they do him away?.
Mimi nimemsikiliza Mama, kiukweli hajamtendea haki mtu wetu!, zile kauli kuhusu tozo, mikopo na deni la Taifa ni kauli za kizalendo na wala sio homa 2025, kwasababu kiukweli kabisa mtu wetu, hajawahi hata kuwazia 2025 kwasababu ndani ya CCM kuna a silent code ya kupokezana fulani kati ya Wakatoliki na wale jamaa zetu!.
Kwa vile alianza Mkatoliki, Juliasi akaja Jamaa zetu, Hasani, akaja Mkatoliki Benyamini Wiliamu, akaja jamaa zetu Mrisho, akafuta Yohane Yosefu, hivyo 2025 ilikuwa ni zamu ya wale jamaa zetu na Mungu ndio akawatangulizia, hivyo kusema kauli ile ya kizalendo ni homa ya 2025, huku ni kumsingizia bure tuu huyu mtu wetu!.
Kwa vile the boss is always right, ikitokea ume differ na boss wako, to the point ya bosi wako to question your intellect "mtu mzima mwenye akili timamu", the best way is to Quitt, the sooner, the better.
Namalizia kwa swali hili la msingi, baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama mtu wetu ni timamu, he shoud do the right thing, "the needful", jee tumshauri to do the right thing, "The Neeful?", before its too late, au akomae nao, mpaka kieleweje, if it is to do him away, akomae till they do him away?. The game is on again, it is not over yet until it's over.
I might end up being right again!Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Wanabodi, Japo siku zote Nabii huwa hakubaliki nyumbani, hili nalijua na litabezwa, na nimeisha lisemea humu TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!. - JamiiForums Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading...www.jamiiforums.com
Paskali
Rejea
Ndoa halali, ndoa batili na ndoa batilifu. Je, wajua pia kuna msamaha halali wa kweli, msamaha batili na msamaha batilifu? Msamaha ule ni batilifu!
Wanabodi, Huu ni uzi elimishi kuhusu aina tatu za kuomba msamaha, kama zilivyo aina tatu za ndoa. Lengo la kutoa elimu hii ni kulinda heshima ya fani ya watu ambayo imetakwa kudhalilishwa kwa kusingiziwa kuwa ile video imefanyiwa maujanja kwa kuchakachuliwa ili kumchafua mtu, kitu ambacho sii...www.jamiiforums.com
Viongozi wetu wanapofanya makosa ya wazi waishie tu kuomba msamaha kisha 'life as usual', au tujenge utamaduni wa kuwajibika kama enzi za Nyerere?
Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utajibu wewe msomaji. Naomba kuanza kwa Declaration of Interest. Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wa habari, tuliwahi kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge na kusulubiwa...www.jamiiforums.com

Yaani Mama akiitisha uchaguzi sasa anashindwa vibaya mno, hakuna anayempenda kabisa huku mitaani, ila kwa wale matajiri wasiopiga kura watamshangilia. Kwa ufupi Mama hana ushawishi kabisa. Yeye alipaswa atulie kwanza kuangalia upepo, sasa sijui nani alimdanganya kuanza kuonesha uchu wa madaraka ya urais na kuanza kukandia yale ya mwenzake. Na lingine baya kabisa ni kuonesha chuki ya wazi kwa utawala wa Dkt Magufuli ambao na yeye alikuwa sehemu ya hiyo serikali.Kabla Bunge halijafikia hatua ya kumpigia kura ya kutokuwa na imani nae, atalivunja na kuitisha Uchaguzi mkuu!! Kumbuka yeye ndio Mwenyekiti wa ccm ambae atasimamia majina yatakayopitishwa kugombea kupitia chama hicho! Hata hivyo wabunge wangapi wako tayari kwenda kwenye uchaguzi wakati huu.
Hapo patamu kabisa. Ila Ndugai akimuengue Mama itakuwa bonge la hasara maana itabidi tukope tena kufanya uchaguzi. Ila Mama akiondolewa atasumbuliwa sana maana uhakika hawezi kushinda uchaguziKama kiongozi wa muhimili kamili unaojitegemea Ndugai boss wake sio Samia, spika kwa kutumia wabunge ana uwezo wa kumuengua Rais. Technically,Rais nae anaweza kutumia chama kumuengua spika...so it's a matter of timing and support!
Kwani Maguguli alishinda?Hapo patamu kabisa. Ila Ndugai akimuengue Mama itakuwa bonge la hasara maana itabidi tukope tena kufanya uchaguzi. Ila Mama akiondolewa atasumbuliwa sana maana uhakika hawezi kushinda uchaguzi
Wanabodi,
Hili ni bandiko la ma GT, hivyo hatutataji majina na naomba usitaje jina lolote!.
Hatua ya kwanza ni sikiliza kauli hii
Hivi hata baada ya kauli kama hii, kama wewe ni mtu mzima na akili zako timamu, bado unasubiri nini to do the right thing, the needful?.
Swali ni jee tumshauri mtu wetu, a do the needful, au akomae nao, till they do him away?.
Mimi nimemsikiliza Mama, kiukweli hajamtendea haki mtu wetu!, zile kauli kuhusu tozo, mikopo na deni la Taifa ni kauli za kizalendo na wala sio homa 2025, kwasababu kiukweli kabisa mtu wetu, hajawahi hata kuwazia 2025 kwasababu ndani ya CCM kuna a silent code ya kupokezana fulani kati ya Wakatoliki na wale jamaa zetu!.
Kwa vile alianza Mkatoliki, Juliasi akaja Jamaa zetu, Hasani, akaja Mkatoliki Benyamini Wiliamu, akaja jamaa zetu Mrisho, akafuta Yohane Yosefu, hivyo 2025 ilikuwa ni zamu ya wale jamaa zetu na Mungu ndio akawatangulizia, hivyo kusema kauli ile ya kizalendo ni homa ya 2025, huku ni kumsingizia bure tuu huyu mtu wetu!.
Kwa vile the boss is always right, ikitokea ume differ na boss wako, to the point ya bosi wako to question your intellect "mtu mzima mwenye akili timamu", the best way is to Quitt, the sooner, the better.
Namalizia kwa swali hili la msingi, baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama mtu wetu ni timamu, he shoud do the right thing, "the needful", jee tumshauri to do the right thing, "The Neeful?", before its too late, au akomae nao, mpaka kieleweje, if it is to do him away, akomae till they do him away?. The game is on again, it is not over yet until it's over.
I might end up being right again!Voices from within: Nimesikia sauti, Dr. Tulia Ackson ndiye Spika ajaye! Sauti hiyo imenieleza Ndugai, japo atatamani aendelee lakini...
Wanabodi, Japo siku zote Nabii huwa hakubaliki nyumbani, hili nalijua na litabezwa, na nimeisha lisemea humu TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!. - JamiiForums Hii ni thread ya maono ya unabii, na sio utabiri na sio trends reading...www.jamiiforums.com
Paskali
Rejea
Ndoa halali, ndoa batili na ndoa batilifu. Je, wajua pia kuna msamaha halali wa kweli, msamaha batili na msamaha batilifu? Msamaha ule ni batilifu!
Wanabodi, Huu ni uzi elimishi kuhusu aina tatu za kuomba msamaha, kama zilivyo aina tatu za ndoa. Lengo la kutoa elimu hii ni kulinda heshima ya fani ya watu ambayo imetakwa kudhalilishwa kwa kusingiziwa kuwa ile video imefanyiwa maujanja kwa kuchakachuliwa ili kumchafua mtu, kitu ambacho sii...www.jamiiforums.com
Viongozi wetu wanapofanya makosa ya wazi waishie tu kuomba msamaha kisha 'life as usual', au tujenge utamaduni wa kuwajibika kama enzi za Nyerere?
Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", ambazo huwa na swali, kisha hoja, halafu jibu utajibu wewe msomaji. Naomba kuanza kwa Declaration of Interest. Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wa habari, tuliwahi kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge na kusulubiwa...www.jamiiforums.com
Bila kuangalia who is right and who could be wrong, haiwezekani kwa afya ya kisiasa katika nchi yetu Mama na Ndugai wakafanya kazi ceremoniously . Mmoja kati yao ammue aondoke. Nani sasa?Unaweza kufuga viumbe vyote lakin huwezi kufuga binadamu.
Samia atashinda leo lakini hatashinda wakati wote.
Amuulize Alexender the great.
Kutokana na mawazo ya kijima tuliyo nayoBila kuangalia who is right and who could be wrong, haiwezekani kwa afya ya kisiasa katika nchi yetu Mama na Ndugai wakafanya kazi ceremoniously . Mmoja kati yao ammue aondoke. Nani sasa?