GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,700
- 14,647
Huwa nashangaa sana watu flani kushindwa kwao kote lawama zao huzipeleka kwa wazungu. South afrika weusi wa kule walipokelewa na nchi nyingi wakisaidia kupata uhuru.
Baada ya miaka kadhaa ya uhuru waafrika kusini wanagundua hata weusi wenzao nao hawapaswi kuwa katika nchi yao. Hapa mtamlaumu mzungu kuwa anawagonganisha vichwa?
Kuna kipindi hata yeye anashangaa yanayotokea nchi kadhaa za kiafrika na kiarabu. Ukienda Yemen wanaouana ni waarabu wenyewe kwa wenyewe.ukienda somalia n.k
Leo hii afrika kusini weusi wanachomana moto kama vile rwanda na burundi watutsi na wahutu walivyouana. Miafrika ndivyo tulivyo akil zetu za hovyo sana.hatuwezi jadiliana au kosoana kwa mazungumzo.
Suluhisho pekee la kwanza ni kuuana iwe wananchi kwa wananchi au wananchi na serikali.
Waafrika wasio na asili ya afrika kusini wanavamiwa maduka yao na wanaopatikana mitaani wanapigwa na kuchomwa moto.
Hii dhambi ya ibaguzi haitaishia hapo wakimaliza wasio waafrika kusini watagundua pia ndani ya afrika kusini kuna makabila au kabila ambalo watu wake wana nafasi sana kuliko wengine. Watageukiana wao kwa wao.
HUU NDO UNYANI NA ZAIDI YA UNYANI....