damper
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 766
- 827
Endelea kulala bado kuna ndoto nyingine ya choo inakuja, kitumie kukojoa na kukata gogo.Nimeota TL rais Shangazi waziri Sheria na katiba
Endelea kulala bado kuna ndoto nyingine ya choo inakuja, kitumie kukojoa na kukata gogo.Nimeota TL rais Shangazi waziri Sheria na katiba
Bado Lissu. Analiwa 'timing' tu.Makosa yake ni yepi? Huyu mama mwaka huu analo, kule Imma advocates wamemtimua na huku nako pia
Kiufupi ni wateule wa Bwana Yule wa 'upara', mzawa wa biharamulo kageraKamati ya Maadili inahusisha wajumbe 3 wafuatao:
1. Judge of the High Court.
2. Attorney General, Deputy Attorney General, or DPP.
3. Practicing Advocate.
cc Beatrice Kamugisha
Nafikiri baada ya muda ataanza kuelewa faida za Muungano.Zanzibar hakuna kesi za maana
Weka Majina yao wote hapa ndugu!!Wajumbe wa kamati ni hawa Jaji wa MAHAKAMA kuu,AG au DPP au deputy attorney general na WAKILI kutoka TLS
1. Judge mkuu sio judge of the high court, alikuwa mhadhiri wa sheria UDSMKamati ya Maadili inahusisha wajumbe 3 wafuatao:
1. Judge of the High Court.
2. Attorney General, Deputy Attorney General, or DPP.
3. Practicing Advocate.
cc Beatrice Kamugisha
Amekiuka madili..Sijuwi, tafadhali nijuze.
Sio mzawa wa hapo, imekoseaKiufupi ni wateule wa Bwana Yule wa 'upara', mzawa wa biharamulo kagera
Amevualiwa uwakili ila bado hatujawafahamu waliohusika kumvua huo uwakili
Walivyofanikiwa awataendelea kuwavua mawakili wengine wasiokubaliana na wanavyoamini wao?
Waliosoma sheria wananafasi gani kuilinda taaluma hii isidharaulike?
Walienguliwa WANASHERIA watumishi wa umma kupractice wakatulia, Leo wameanza kupokonywa vyeti katika nchi inayoamini vyeti na leseni. Tujipange
Hao jamaa wanamsubiri Lissu nae wamfanyie ' cha wajumbe'.Amevualiwa uwakili ila bado hatujawafahamu waliohusika kumvua huo uwakili
Walivyofanikiwa awataendelea kuwavua mawakili wengine wasiokubaliana na wanavyoamini wao?
Waliosoma sheria wananafasi gani kuilinda taaluma hii isidharaulike?
Walienguliwa WANASHERIA watumishi wa umma kupractice wakatulia, Leo wameanza kupokonywa vyeti katika nchi inayoamini vyeti na leseni. Tujipange
Wa wapi?Sio mzawa wa hapo, imekosea
Who said nobody cares? Wewe hapo au?UN nini mzee, yule mama alikuwa MD wa NIMR uko UN ni status tu ndio mana unaona Tibaijuka na migiro walikuwa retired Uko UN ila still wamerudi kuomba ubunge, mtu hata uwe na kazi gani nje still ukimaliza muda wako uko utakuja tu kuomba upewe pewe Vyeo watu kama Mark mwandosya na Andrew Chege vichwa haswa vilivoaminika mpaka na Nyerere unadhani walikosa kazi nje, na mahiga je?
Uyo Fatuma hata apewe cheo gani nje still atataka tu kurudi ili apambane na siasa za nyumbani mana ni Ziko paid na Unakuwa Na pride uko UN nobody cares, ni mwendo wa homesick tu
Hakuna kama nyumbani
..serikali inalaumiwa ktk tukio la Tundu Lissu kutokana na ukweli kwamba walinzi wa area D waliondolewa siku ambayo shambulizi lilitokea.
..kwasababu walinzi wa area D ni wa serikali, na wanaoweza kuwaondoa ni mamlaka za serikali, ndiyo maana tuhuma za kumshambulia Tundu Lissu zinaelekezwa kwa serikali.
Idadi ya wajinge imeakuwa inaongezeka sana Tanzania kiasi kuwa hawawezi kufikiri namna ya kutoa hoja bali lugha za mtusi tu. Kama mimi ni Kilaza wa Lumumba basi nina afadhali kidogo kuliko wewe kicheche wa Ufipa!Kwa hiyo wewe kilaza wa Lumumba tuambie Nani Alimpiga risasi Tundu Lissu???
Kwa nini hadi leo polisi hata Lissu tu hawajamuhoji??? Kwa nini walinzi kwenye nyumba za Viongozi alikokuwa anakaa Lissu waliondolewa??? Kwa nini mlimnyima matibabu Lissu???
Siwezi kukubali au kukana conjecture yako kwani sijui huwa walinzi wangapi kwenye eneo hilo, eneo lenyewe lina ukubwa kiasi gani, na vile vile utaratibu wa walinzi wale ni wa namna gani, yaani kama huwa ni wa kukaa sehemu moja kama walinzi wa benki au ni wa kufanya doria (patrol) kwenye eneo lote la makazi hayo. Kama wao wanafanya patrol eneo zima la makazi, kutowakuta katika sehemeu moja ya eno hilo siyo lazime iwe na maana ya kuwa wameondolewa.