WAKATI Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitarajia kutoa tamko la kujiuzulu kwa mawaziri kadhaa, siri nzito zimeanza kufichuka baada ya Waziri wa Uchukuzi, Omar Nundu kumtupia kombora naibu wake, Mhandisi Athuman Mfutakamba.
Waziri Nundu, alimtuhumu hadharani naibu wake, kwa kile alichodai...