AirTanzania
JF-Expert Member
- Mar 17, 2011
- 1,139
- 1,040
Kama hataki kutupa picha za rais wetu, mods funga hii thread
anamwaga sera na watu ni wengi sana
ur less concerned,mwambie ritz,rejao au dr kuneng'e hao ndo saiz yako sis hutuwezi!!!!mleta thread ametoroka inaonesha hayuko eneo la tukio
Napata shida sana na wanaomwita Dk. Slaa leo hii eti Rais hili linatoka wapi hakika hii ni kuiviza katiba waziwazi na kuleta ushabiki usiokuwa na tija kwa Taifa letu.