nundu hana usafi wakutowajibika, kwan serkal anayoitumikia inatosha kumweka hatiani mbele ya watanzania serkal ya chama chake imelisababishia taifa matatizo makubwa, pia lazma akumbuke wakati akigonga meza kupitisha hoja zenye madudu ndani yake yanayolitafuna taifa kuwafanya watanzania kuwa wanyonge na wenye dhiki katka taifa lao lenye kila aina ya rasilimali, ajue kila mtanzania anayeshnda njaa,kila mtoto anayekosa fursa yakusoma wengne hawana madawati,wanawake wanaokufa wakati wakujifungua kwa kukosha huduma muhmu,wanafunzi wa vyuo wanateseka kwakukosa mkopo natmambo mengne meng hana usafi na uhalali wakutowajibka.