Mie maoni yangu hata Rais angewateua wawakilishi wa kila kabila linalo exist hapa TZ, madhehebu yote na wale wanaoabudu mapangon na miti ili wachangie kwenye hiyo tume bado ungewasikia wadigo wangelalamika kuwa posho zitakazolipwa ni nyingi serikali inatumia pesa vibaya.
Halafu hivi wale wajumbe ndio watakao andika katiba mpya kwa maoni yao au kwa maoni yetu? kama kwa m aoni yetu kwanini mzee mtei aseme yote hayo? kama kwa maoni ya wajumbe then itakuwa tatizo ila kama maoni yatatolewa na wananchi sioni tatizo hata kama waliochaguliwa wangekuwa hawana dini! kwani sisi wenye dini zetu tungetoa maoni ya tuyatakayo!
Kunatofauti kubwa kati ya kusema ukweli na kuutolea maoni huo ukweli kwa mustakabali wa nchiFikiria kwa makini alichokisema
Kisha uamue kama alichokisema ni uongo au ukweli?
Kunatofauti kubwa kati ya kusema ukweli na kuutolea maoni huo ukweli kwa mustakabali wa nchi
Mfano, mtu anasema Dr Slaa ni padri, ni mkristo, maisha yake yote amekulia kanisani na amesomea sheria za kanisa hadi level ya PHD, na anaishi na kuzaa na mke wa mtu,......................Huu ni ukweli
Lakini akianza sasa kutoa maoni kuhusu ukweli huo labda nchi haina dini kwanini tuongozwe na padri aliyesomea sheria za kanisa?anaweza kupendelea dini yake. kwanini tuongozwe na mtu asiye na maadili anayeishi na wake za watu........... haya ni maoni na ndio yanayogomba
Lakini katika mfano huu, kama utamuangalia Dr slaa kwa jicho la kitaifa utaona ni haki yake na katiba inamruhusu na anauzalendo, lakini kama utamuangalia Dr slaa kwa jicho na mtazamo wa kidini utamuona yupo kwa maslahi ya wakristo na si taifa.......kama alivyofanya Mtei
Kwasababu kung'ang'ania tu alisema ukweli hakusaidii, angeweza kusema hata kwanini hakuna mjaluo au muhindi au msambaa, or whatever, huo nao si ni ukweli............
Tunachokiona kwenye bandiko la Mtei ni kwamba ameingalia tume kwa jicho na mtazamo wa kidini na kikanda, kitu ambacho hata yeye anajua jinsi Nyerere alivyotumia muda mwingi kukipiga vita na anajua CDM inaathirika vipi kwakuwa tu kuna watu wamezusha na kuifanya ionekane katika jicho la kidini.
Tuungane kwa pamoja kumuonyesha mzee hapa ulighafirika kidogo then maisha yaendelee, lakini kubaki kufungua masredi kumtetea mtu ambaye hata chama cheke mwenye alicho kiasisi kimemnawa kwa tamko rasmi ni kupoteza muda bure na kufanya azidi kuchambuliwa udhaufi wake
Aliyeleta udini ni yule aliyejaza tume nzima watu wa dini yake mwenyewe
THANKS GOD tuna watu kama mzee Mtei wenye kuweza kukemea udini wa ccm
Mtei hakukosea chochote, yuko sahihi kabisa 100%
Napenda niwahakikishie Waislam kwamba kamwe mahakama ya kadhi na OIC havitakuwepo Tanzania milele na milele. Sana sana mtaishia kula tende na halua tu.
Zitto anatumiwa kila mara kuigalagaza chadema, huu hautakuwa mwanzo au mwisho wake kufanya hivyo
hivi tujiulize kama wajumbe wote wanaotoka tanganyika wangekuwa woote ni wakristo ama waislamu kuna mtu angeelewa kweli? Nakuhakikishia pangechimbika. Kwa upande wa zanzibar wajumbe kutokuwepo mkristo hata mmoja japo sii sheria bali busara kunamaanisha zanzibar ni waislamu kwa asilimia mia moja. Na inamaanisha maslahi ya wakristo wachache waliopo hakuna wa kuyapigia chupuo katika maoni yanayotarajiwa kukusanywe. Busara haionyeshi kwamba kuna nia njema kwa hawa watu wasio waislamu katika visiwa hivi.
.
Napenda niwahakikishie Waislam kwamba kamwe mahakama ya kadhi na OIC havitakuwepo Tanzania milele na milele. Sana sana mtaishia kula tende na halua tu.
Kulalamika waislamu wanapendelewa dhidi ya wakristo ndio msimamo wa chadema mpaka Zito aonekane anahujumu chama kwa kukemea udini wa Mtei?
Mtei mtetezi wa religion balance Ktk Mambo yepi? Kila idara ya serikali au tume ya katiba tu? Hizo idara nyengine wakristo pia wachache au kuna balance kati yao na Waislamu? Baraza la mawaziri linachaguliwa na JK pia, je waislamu na wakristo wapo sawa kwa idadi? Hata kipindi Mtei alipokuwa member wakati wa Kambarage je idadi ili balance au wakati huo alikuwa mkomunisti? Ba mkwe una ajenda gani?
Anyway, kwangu mimi hapa ba nkwe anadhihirisha tu ukweli juu ya ajenda ya siri ya Chadema. Nakumbuka wakati Lema anaenguliwa ubunge Arusha, nilimsikia mama mmoja ktk clouds FM akilalami "huu ni wakati wa Yesu, huu ni wakati wa Yesu, huu ni wakati wa Yesu, huu ni wakati wa Yesu, ............yehova unaacha wanao tunahukumiwa mchana peupee!!!!!.." hee nikajiuliza, Lema kawa Mchungaji, Padiri au Askofu!!!!
Wenye akili tulishaelewa!!!!
Mzee Mwankijiji sijakusikia kwa hili? Upo kambi gani?
Kwa mtindo huu CDM inaichukua miaka 100 ili kuitawala Tanzania udini ni sumu ambayo haina nafasi hata kdogo katika siasa zeti Tz yaelekea umetumwa na post yako hii ili uweze kuchafua hali ya hewa hapa JF