Recent content by kijanamdogo2019

  1. kijanamdogo2019

    Jamani tusaidiane kushare na udownload hii app Maana ina mazuri mengi

    Fanya kubonyeza link,, then jisajili,,, you will thank me Later https://jamiiforums.com/1WI00vXTFZ
  2. kijanamdogo2019

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Am looking for something known as like,,, can have it please
  3. kijanamdogo2019

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Tanzania Ndio Nchi Pekee Ambayo wananchi wake wanapotea na polisi wanadai kwamba wameenda kutembea kumbe watu WAMEKUFA kama Azory Gwanda
  4. kijanamdogo2019

    Hivi ni kweli kwamba imeshidikana kabisa kumshusha Diamond Platnumz licha ya juhudi zote kutoka kwa haters?

    He is [emoji146] himself,,, who got all STRATEGIES AND TECHNIQUES
  5. kijanamdogo2019

    Ukatili wa wanawake

    Rafiki yangu kidogo ajiue. Kajitolea kamsomesha mchumba wake hadi kamaliza chuo Udom. Wakati wanapanga mipango ya ndoa demu akaaga anaenda kwao mbeya kusalimia kufika huko akafunga ndoa kimyakimya na jamaa mwingine. Kuna Wanawake ni makatili kama shetani. Omba Mungu yasikukute.
  6. kijanamdogo2019

    Msaada Jamani

    Wakuu kutokana na mada hapo juu,Mimi ni 27 yrs old .Ninakuwa na hamu Sana zamani nilidhani ni Jambo la kawaida lkn naona inazidi tu kuongezeka. Nina mchumba wangu na anajitahidi kunitembelea hata Mara mbili kwa wiki na akija tunafanya mapenzi na saa zingine tunakaa pamoja hata siku tatu hivi...
  7. kijanamdogo2019

    Msaada kuhusu kuhama combination CBG to PCB

    Mbona Geography hujaweka matokeo yake? [emoji855]
  8. kijanamdogo2019

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Nakaribisha mwenye swali la physics,, chemistry na biology,,, kwa advance na o level
  9. kijanamdogo2019

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Me natafuta nafasi ya kuajiriwa shule ya private
Back
Top Bottom