• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Elections 2015 ICC alichomoka Kenyatta na kesi ya mauaji sembuse Magufuli?!!

britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
12,956
Points
2,000
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
12,956 2,000
Kuna maambo yanachekesha kabisa nasikia kuna mtu anatapa tapa kwamba ataenda ICC kushtaki, ni kwa kosa lipi alilofanya Magufuli?

Nasikia mwingine huko zanzibar ameanza kuzurura nje eti subirini nitakuwa rais tu,

Kwanza kama hamjui maazimio tuliyonayo ni kwamba,

1.Uongozi huu hatutadekeza wapinzani mambo ya kijinga kwamba sijui jumuia za kimataifa sijui nini kwanza safari zote zitapigwa marufuku,

2. Alafu nacheka unaposikia vibalozi hata vya nchi ambazo hazijawahi toa msaada wa maana , hao wote tutafukuza hata awe mwakilishi wa UN sijui EU ,ni zamu ya Tanzania kutambulika kimataifa,

3. Wapinzani mnachekesha sana sasa uje ugundulike kuwa una side na watu wa nje kutuhujumu utajuta, maana kuna watu kama Kina zitto kabwe wanadanganywa danganywa na wazungu wanadhani tutawaacha?? Vunja vunja na kuweka gerezani, Tanzania inahitaji kunyooka, naomba Magufuli uyafanye baada ya kuapishwa haya,

3.Eti Tutashitakiwa ICC hahahahaha nacheka sana, nakuibia siri kwamba hata huko ICC hamtaenda hata mkianza kujifanya mnatumia mahakama za ndani hizo tunaweka watu na kuwapa maagizo,

4. Wale wote waliokuwa wanafanya kazi ndani ya CCM waliojulikana ,lakin kuna ambao tunao vyama vya upinzani ni CCM mashushushu ndani yenu, wote watarejea hata wawe wabunge watarejea tu, ila wa kada kama mahakama polisi na jeshi hao tunawaacha bado tuna kazi nao sana,

5. Yaan huyu rais tuliopata hatishwi na yeyote ni Bulldozer , ndo maana kikwete anasema atapumzika vema,

Msijidanganye hata kidogo kwamba kuna mtu anawaogopa hao, hatuna kosa lolote, amechomoka kenyatta sembuse magufuli,

Nina imani atawapa kazi majembe kama Nape, Mwigulu, Kigwangala, Muhongo atashika nafasi nyeti sana

Mungu Ibariki Tanzania
 
N

Nyari

Senior Member
Joined
Dec 3, 2008
Messages
136
Points
225
N

Nyari

Senior Member
Joined Dec 3, 2008
136 225
Kenyatta is next levels can’t compare the two!
 
S

shimwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2017
Messages
1,221
Points
2,000
S

shimwa

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2017
1,221 2,000
Jpm wetu ameshaanza kuogopeshwa na uelekeo wa taifa siku hizi anaongea kwa tone ya chini utafikili kuna mtu amemtisha.Pia mvi zimeongezeka sana na pia makunyazi ya sura yenye stress yameongezeka usoni mwake.
TATIZO BABA YETU ANATOA MAAMUZI KUTOKANA NA INFORS ANAZOPEWA NA TISS TU ALITAKIWA ATUMIE WATAALAM WA FIELD HUSIKA MFANO KOROSHO ALITAKIWA AWAKALISHE CHINI SEKTA YA KILIMO NA BIASHARA YEYE AJE KUTANGAZA KILICHOKUBALIWA KUPOROMOKA KWA TSH YETU NI KIKAO KATI YA MA EXPERT WA BOT NA WACHUMI WAJE NA HATUA MADHUBUTI NA KWA VILE ANAOGOPEKA ALITAKIWA VIKAO VYOTE YEYE ASIWEPO.

Sent using Jamii Forums mobile app
Alimsikiliza banyikwa was tss pekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tikatika

tikatika

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Messages
2,332
Points
2,000
tikatika

tikatika

JF-Expert Member
Joined May 6, 2011
2,332 2,000
aisee hata ww ni mmoja wa watabili wa uongozi wa jiwe!! nina imani ulipenda iwe ulivyoandika ila imezdi zaid ya ulivyotaraji. jipe moyo ukiomba mkate hupewi jiwe!!
 
tikatika

tikatika

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2011
Messages
2,332
Points
2,000
tikatika

tikatika

JF-Expert Member
Joined May 6, 2011
2,332 2,000
huu uzi naomba uongozi wa JF waulete jukwaa la siasa, hapa si mahali pake
 
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Messages
12,956
Points
2,000
britanicca

britanicca

JF-Expert Member
Joined May 20, 2015
12,956 2,000
Tip
Mkuu nimefuatilia kuona hii thread ni ya lini... naona ni ya October 2015. Huyu jamaa ana nyota ya utabiri au anamjua vilivyo bwana mkubwa au ndie mshauri wake mkuu. Ila hapo kwenye majembe aliyoyataja ni kweli aliwakumbuka lakini naona wametumbiliwa kabakia mmoja... je yawezekana naye atatumbuliwa?? Au mkubwa kaanza kwenda kinyume na mtabiri/mshauri

Ila kwa namna bwana mkubwa anavyoendesha gari lake ni rahisi sana kutabiri yatakayofuata. Huhitaji kuwa mtabiri mahiri kutabiri atakachokifanya baada ya tukio fulani kutokea...

Muda utatupa majibu zaidi...
 
Msakila KABENDE

Msakila KABENDE

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Messages
511
Points
500
Msakila KABENDE

Msakila KABENDE

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2017
511 500
Wanaweza kwenda ICC kula bata, JPM yuko sawa kwa watanzania
 
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Messages
4,807
Points
2,000
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2019
4,807 2,000
Hivi wewe Pimbi iq ya Kenyatta unaweza kuilinganisha na Magufuri Dunderhead.
 
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Messages
4,807
Points
2,000
C

Chief Kabikula

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2019
4,807 2,000
Hivi wewe Pimbi iq ya Kenyatta unaweza kuilinganisha na Magufuri .
 
K

konyola

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Messages
1,704
Points
2,000
K

konyola

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2016
1,704 2,000
UNAUFAHAMU UMBALI ULIOPO KATI YA KENYATA NA HUYO MHESHIMIWA? 1. KENYATA NI BORN TOWN, AMEKAA IKULU TANGU UTOTO HADI UKUBWANI, ANA FWEZA SIO FEDHA, ANA INTELLIGENCE SYSTEM ILIYOASISIWA NA BABA YAKE, ANAZIJUA KWA UNDANI NORMS AND TRADITIONS ZA IKULU, ANAMILIKI MAKAMPUNI YA KUFA MTU, NI INTERNATIONAL PERSON KABLA HAJAWA RAIS, ANAZIJUA VIZURI FIGISU ZA MAISHA YA UONGOZI WA JUU TENA TECHNICALLY SIYO MAVURUGU MAVURUNDULI HAYA UNAYOYAONA, MWISHO KABISA ANAJUA KIINGEREZA VIZURI
HAUNGIUNGI NA SUPERGLUE.
 

Forum statistics

Threads 1,405,394
Members 531,983
Posts 34,485,090
Top