Msaada kuhusu kuhama combination CBG to PCB

Nimehitim kidato cha nne 2018 na nimechaguliwa combination ya CBG ,, na mm ndoto zangu ni kusoma PCB ,Je naweza kubadl combination nikifka shulen .... results
Phy _c
Bio_c
Chem_c
Math_d
Hist_c
Eng_b
Kisw_b
DAH KAMA MASOMO YAKO PENDWA UNA MAKARAI NAMNA HII NADHANI UNAWEZA HANDLE ARTS SUBJECTS BETTER ZAIDI KWA HIZO ALAMA NZURI ULIZOPATA (HGL, HKL, HGK). BUT NISIKUKATISHE TAMAA NDUGU KAMA UNAWEZA SCIENCE FROM WITHIN YOUR SOUL NA SIO MBWEMBWE THEN INGIA KWENYE CBG UTAKUWA SAFE NA UNAWEZA PATA DIVISON 1-2 MWISHONI. I'M A TESTIMONY MYSELF WENGI WANAOZINGUA FORM FOUR THEN FORM SIX WANAFANYA MAAJABU SANA KAMA WATAJITAMBUA NA KUJITUMA VILIVYO VICE VERSA KWA WALIOFAULU FORM FOUR KUJA FORM SIX WANAZINGUA BIG TIME AT THE END.

NA KAMA UMESHAPANGIWA THEN ANDIKA BARUA KWA ACADEMIC PRINCIPAL HUSIKA WA SHULE ILIYOPO KUWA UNA SWITCH COMBINATION WITH WHAT REASONS! AND IF YOU CAN HANDLE WHAT YOU WANT TO PURSUE. JAZA ANUANI YA OFISINI KWAKE ACADEMIC NA KWA HEADMASTER/MISTRESS THEN COMPLETE YOUR FORMAL LETTER AND SUBMIT FOR FEEDBACK.
 
Zote safi, ila inayolipa kwa sasa ni hiyo CBG, kama ukifaikiwa...
 
Inalipa kivipi mkuu?Umewahi kuona mtu akaajiriwa kwa vigezo vya tahasusi aliyosomea kidato cha sita?

Haya hebu niambie ni kozi gani nzuri zenye potential ya kujiajiri na kuajiriwa mtu alosoma CBG anaweza kusoma ukilinganisha na mtu alosoma PCB

PCB atasoma MD,Pharmacy,DDS,Nursing + Midwifery,Medical Laboratory Science (zote kuanzia histotechnology,clinical chemistry etc),Environmental Health Science,Physiotherapy,Diagnostic Radiology,Radiotherapy,BVM n.k

CBG atasoma Environmental Health Sciences plus zile kozi nyingine za SUA..Umeona tofauti?

My take:Ukisoma PCB unakua na wide choices ya kozi za kusoma chuo kikuu.

Sawa mkuu nimekuelewa
 
Na ndio maana mm naipenda PCB
 
Dogo chamsing hapo wewe nenda shule kama unataka PCB kasome mambo ya unataka kuwa nani utajua mara baada ya kufaulu ule mtihan ACSEE, kwasababu unaweza enda a level na malengo kibao lakin ukaja kuishia kusoma tu diploma kitu ambacho unakuwa umepoteza mda wako mwingi kisa tu ulitaka kuwa mtu flan na ukaenda kusoma vitu usivyoviweza
PCB ninyepes kama ukitia msuli lakn itakupotezea malengo kama unaenda kusoma ili uwe pharmacist (nahis hutanielewa hapo) nenda shule kasome kitu unachowezana nacho.
 
Lakn kaka mtu si unatakiw usome kwa malengo
 
Nimehitim kidato cha nne 2018 na nimechaguliwa combination ya CBG ,, na mm ndoto zangu ni kusoma PCB ,Je naweza kubadl combination nikifka shulen .... results
Phy _c
Bio_c
Chem_c
Math_d
Hist_c
Eng_b
Kisw_b
Mbona Geography hujaweka matokeo yake?
 
Nimehitim kidato cha nne 2018 na nimechaguliwa combination ya CBG ,, na mm ndoto zangu ni kusoma PCB ,Je naweza kubadl combination nikifka shulen .... results
Phy _c
Bio_c
Chem_c
Math_d
Hist_c
Eng_b
Kisw_b
Soma HKL Mkuu unakipaji Cha kiswahili na English,kwa kifupi wewe ni mtu wa lugha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom