Recent content by kifusi boy

  1. kifusi boy

    Advanced level inaelekea kupoteza mvuto

    Sitaki kuamini kuwa wewe ni Daktari!! Muandiko unakuhukumu
  2. kifusi boy

    BRT Kenya

    Just Wow....
  3. kifusi boy

    Mechi ya Simba dhidi ya Ihefu ichezwe uwanja wa Mbeya mjini, Kusafiri takribani masaa mawili na nusu kwenda uwanja wa Ihefu ni kuchoshana tu.

    Kwa sasa hivi hiyo lisaa limoja ni kama kutoka Mbeya Mjini hadi Chimala labda Kutoka Mbeya Mjini mpaka Ubaruku ni karibia masaa mawili kasoro au mawili kamili
  4. kifusi boy

    Msaada: Education achague vyuo gani?

    Aende SUA au UDOM Ualimu wa Chemistry na Biology Kwasababu ndizo alizofaulu nazo kwa mazingatio ya principal pass zake yaan D mbili Hatoweza kusomea ualimu wa Physics with either Chem or Bios kwasababu ya E ya Physics
  5. kifusi boy

    Msaada: Education achague vyuo gani?

    Physics ishamtema automatically, zingatia principal pass mbili alizonazo ni Chemistry na Biology kwahiyo ni lazima kusomea ualimu kulingana principal pass zake Hiyo E ya Physics ishamtoa kwenye mfumo auto
  6. kifusi boy

    Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

    Kwa Replies hizi kwenye uzi huu nime prove kwamba Watanzania wengi ni weupe kichwani.... Yaan its a matter of understanding tuu, ila sasa kila mtu anaeleza kivyake wakati statement ni moja. Watanzania tumezidi ujuaji asee, af sasa hatujui kitu...
  7. kifusi boy

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Msimuonee Harmonize wetu huko nyie Wakora..... Let him go
  8. kifusi boy

    Story behind your date of birth

    Wee mzee huu Uchawi wako ni Ukweli mtupu yaan..... Yaani hiyo namba ni Mimi purely
  9. kifusi boy

    Waislamu mnijibu tafadhali

    Wee kweli Kovu.....
  10. kifusi boy

    Anayejua ada za sekondari hizi

    Number 8 Bright Future Girls Milioni 5 kasoro
  11. kifusi boy

    Shule ya sekondari Wailes -Temeke wanafunzi 187 wamefeli kidato cha pili kwakushindwa kutimiza wastani

    Sasa Mkuu, Wailes Secondary form two wao walikua 611 kati ya hao waliofeli 187 ni kama 30% ya watoto wote of which watoto 70% wameendelea na form three Mbona data zipo sawa tuu kwa shule zetu hizi za kata
  12. kifusi boy

    St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    Ndugu PainKiller nafikiri kuna kitu haukijui Binafsi ni moja kati ya watu ambao nilibahatika kuajiriwa na kufundisha moja kati ya shule ambayo ipo top ten hapo inaitwa Bright Future Girls ipo Mbondole - Serikali ya Mtaa Manispaa ya Ilala Jijini Dar Es Salaam mwaka jana 2021 Kiukweli hakuna...
  13. kifusi boy

    St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    NO!! NO!! NO!! NO!! BIG BIG NO!!!
  14. kifusi boy

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Daah naumia sana kila nikiisoma hii reply yako, Watu wa Pwani tumekukosea nini bro!!?
  15. kifusi boy

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Leo hii huwataki Wazungu Mkuu?? unawaita Mabeberu!!? Meza Wembe Bro
Back
Top Bottom