Advanced level inaelekea kupoteza mvuto

Advanced level inaelekea kupoteza mvuto

kwa hisia ulzoztoa hapo juu inamaanisha o-level ulfeli hukupata credit za kukupeleka advance level
Athumani mm siyo mjjnga Kama wew unadhani advance ndio shule nimetoka kumpeleka mwanangu DIT kusoma engineering na nilimkataza kwenda hyo a level yako ya kupoteza muda

Mwanangu alipata 1.10 olevel Sasa mm baba ake nikipata ngapi enzi zangu acha upuuzi huu udr wangu siyo wa kupewa Ni wakuzotea darasani Hadi kufika hapa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sitaki kuamini kuwa wewe ni Daktari!! Muandiko unakuhukumu
 
Back
Top Bottom