Msaada: Education achague vyuo gani?

josephwaara

JF-Expert Member
Jun 18, 2016
304
637
Wakuu nimeombwa ushauri ulio juu ya uwezo wangu, dogo ana three ya 13 PCB, EDD ni msichana.

Nmemshauri km ni education aende phys na chem bios aspire chini kwa sbb za kibiashara.

Hapo kwenye vyuo nmemwambia anipe muda niwaulize wataalam wangu.

Shukrani.
 
Huwaa nachukia walio faulu kwa wastanii mdogo kusomea ualimu, Kwanini wengi wanaofaulu PCB, wanataka MD, HKL HGL waliofaulu wanataka LAW, PSPA n.k,, Ila 2,3&4 wanataka ualimu
 
Umaskini mkuu, kaa ukijua kuna kozi huwezi kusoma bila pesa ndefu wala connection, tambua hilo.
 
Asiache Phy kwa namna yoyote ile... Kwa vyuo mwambie aend SJUT-Dodoma, UDOM au Duce
Physics ishamtema automatically, zingatia principal pass mbili alizonazo ni Chemistry na Biology kwahiyo ni lazima kusomea ualimu kulingana principal pass zake

Hiyo E ya Physics ishamtoa kwenye mfumo auto
 
Wakuu nimeombwa ushauri ulio juu ya uwezo wangu, dogo ana three ya 13 PCB, EDD ni msichana.

Nmemshauri km ni education aende phys na chem bios aspire chini kwa sbb za kibiashara.

Hapo kwenye vyuo nmemwambia anipe muda niwaulize wataalam wangu.

Shukrani.
Aende SUA au UDOM
Ualimu wa Chemistry na Biology

Kwasababu ndizo alizofaulu nazo kwa mazingatio ya principal pass zake yaan D mbili
Hatoweza kusomea ualimu wa Physics with either Chem or Bios kwasababu ya E ya Physics
 
Ongezea Apo na ualimu wa AGRICULTURE SCIENCE NA BIOLOGY Anaweza pia kusoma
 
Wakuu nimeombwa ushauri ulio juu ya uwezo wangu, dogo ana three ya 13 PCB, EDD ni msichana.

Nmemshauri km ni education aende phys na chem bios aspire chini kwa sbb za kibiashara.

Hapo kwenye vyuo nmemwambia anipe muda niwaulize wataalam wangu.

Shukrani.
Samahani naomba nishauri.bint amefauru vzr sn sn.ila nashauri akasome clinical officer.itamsaidia sn kuliko kwenda kusomea umaskini (ualimu)
 
Back
Top Bottom